Recent Posts

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA NIGERIA

Rais  Dkt. John Magufuli leo tamekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Dkt. Olusegun Obasanjo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Baada ya mazungumzo hayo Mhe. Dkt. Obasanjo amempongeza Mhe. Rais Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya katika uongozi wake ikiwemo kupambana na rushwa, kuimarisha utoaji wa elimu, kuimarisha …

Soma zaidi »

MFUMO MPYA WA TAARIFA ZA WATUMISHI WA UMMA KUANZA KUTUMIKA

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dokta Mary Mwanjelwa amesema wizara ipo katika hatua ya mwisho ya kuwa na mfumo mpya wa kupata taarifa za watumishi wa umma kote nchini ikiwa ni pamoja na kituo cha kutoa huduma kwa pamoja. Naibu Waziri Mwanjelwa …

Soma zaidi »

MAABARA YA VINASABA VYA WANYAMA KUANZISHWA ARUSHA

Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Kanda ya Kaskazini – Arusha, ipo mbioni kuanzisha Maabara maalum Vinasaba vya wanyama ambayo itasaidia kutambua asili ya mnyama ikiwemo wanyama waliopo ama waliokufa. Akizungumza wakati wa ziara maalum ya Maafisa Uhusiano waliotembelea Kanda hiyo leo, Meneja Kanda ya Kaskazini Christopher Anyango …

Soma zaidi »