Recent Posts

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA 26 KUHUSU MIFUMO YA USAFIRISHAJI UMEME

Kamishana wa Umeme na Nishati Mbadala, Mhandisi Innocent Luoga, kutoka Wizara ya Nishati, ameongoza timu ya wataalamu wa nishati kutoka Tanzania, kushiriki katika mkutano wa 26 wa Kamati Tendaji unaojadili mifumo ya kusafirisha umeme, iliyounganishwa katika nchi zilizopo Mashariki mwa Afrika (Eastern Africa Power Pool – EAPP) Mkutano huo unaofanyika, …

Soma zaidi »

KAZI YA UWASHAJI UMEME VIJIJINI INAZIDI KUSHIKA KASI – DKT. KALEMANI

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, ameeleza kuwa kasi ya usambazaji umeme vijijini inaendelea kuongezeka ili kuweza kufikia lengo la Serikali la kusambazia umeme vijiji vyote ifikapo mwaka 2021. Dkt. Kalemani aliyasema hayo jana akiwa katika ziara ya kukagua kazi ya usambazaji umeme katika Wilaya ya Geita mkoani Geita ambapo …

Soma zaidi »

UJENZI WA DARAJA LA SIBITI UMEFIKIA ASILIMIA 94.8

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan leo ameenndelea na ziara yake ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Singida ikiwa ni siku ya nne ya ziara mkoani humo. Akizungumza na wananchi waliojitokeza kwenye eneo la mradi wa ujenzi wa Daraja Sibiti, Makamu wa Rais …

Soma zaidi »

BANK YA TADB YATOA BILIONI 1.285 KUSAIDIA WAKULIMA WA ALIZETI

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, amepongeza juhudi za Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kusaidia wakulima wadogo nchini hali inayoongeza uzalishaji na kuwaongezea kipato wakulima hao. Makamu wa Rais aliyasema hayo wakati akikabidhi hundi ya mfano yenye thamani ya Shilingi 1.285 Billioni zilizotolewa na TADB kwa ajili …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AZINDUA MATREKTA MAWILI AINA YA URSUS

Kiwanda cha Kuunganisha Trekta za Ursus ni kiwanda kinachosimamiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) ambapo huunganisha Trekta zinazokuja kwa vipande kutoka nchini Poland. Kiwanda hicho kilianza rasmi kufanya kazi Aprili, 2017 ambapo ni moja ya matunda ya kauli mbiu ya Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya ujenzi …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI NISHATI AWATAKA WANA-PWANI WACHANGAMKIE UMEME WA REA

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu ametoa rai kwa wananchi wa Mkoa wa Pwani, hususan wanaopitiwa na Mradi wa Umeme Vijijini kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kuchangamkia fursa hiyo kutokana na unafuu wa gharama zake. Alitoa rai hiyo kwa nyakati tofauti akiwa katika ziara ya kazi kukagua utekelezaji wa …

Soma zaidi »