Mradi wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP): Ujenzi wa mradi huu wa kuzalisha MW 2,115 umekamilika kwa zaidi ya asilimia 85. Unatarajiwa kuongeza upatikanaji wa umeme na kuchangia zaidi ya MW 2,100 kwenye gridi ya taifa, hivyo kuzalisha umeme wa kutosha kwa nchi nzima. Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi …
Soma zaidi »Recent Posts
Ujenzi wa Miundombinu ya Shule za Msingi;
Ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 ulitekelezwa chini ya mpango wa kuboresha elimu ya msingi, hasa kupitia miradi ya SEQUIP (Secondary Education Quality Improvement Program) na BOOST (Boost Primary Education Program). #KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya#MSLAC
Soma zaidi »Kheri ya siku ya kumbukizi Miaka 25 toka kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tuendelee kuenzi Matokeo chanyA+ ya juhudi zake za kujenga umoja, amani, na maendeleo kwa taifa letu. Umoja ni nguvu, tukumbuke daima mafunzo yake kwa mustakabali wa Tanzania iliyo bora. #KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya#MSLAC
Soma zaidi »Muonekano wa Daraja la JP. Magufuli linalounganisha eneo la Kigongo (Misungwi) na Busisi (Sengerema) lenye urefu wa km 3 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66. Mkoani Mwanza tarehe 13 Oktoba, 2024. Ujenzi wa daraja hilo umefikia asilimia 93 nalinatarajiwa kukamilika
Maonyesho ya Land Rover Arusha yameingia kwenye kumbukumbu za rekodi za Dunia, jambo linaloashiria mafanikio makubwa katika sekta ya magari na pia umuhimu wa Tanzania, hasa Arusha, kama kitovu cha biashara ya magari barani Afrika. Tukio hili la kuvutia linaashiria mambo mengi muhimu
1. Umaarufu wa Land Rover: Land Rover ni chapa inayohusishwa na ubora wa magari ya hali ya juu, hasa kwa safari za nje ya barabara (off-road). Maonyesho haya yanasisitiza umaarufu wa gari hili sio tu kwa wapenzi wa magari lakini pia kwa sekta ya biashara, utalii, na uchukuzi wa mizigo …
Soma zaidi »je wewe unangoja nini ?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.
Soma zaidi »Mh Rais Samia ameanza, wewe unasubiri nini ?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma
Soma zaidi »Documentary – SAFARI YA MAISHA BORA
Ni Safari ya Kutembelea Maeneo ya Mradi ya Kitwai, Saunyi na Msomera. Serikali imeendelea kutoa elimu na kuwashawishi wananchi kuhama kwa hiari ndani ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, ambapo Tarehe 14, Septemba 2024 Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro iliandaa safari ya wawakilishi wa wananchi wakiwemo viongozi, malaigwanani na wakaazi …
Soma zaidi »Serikali imetenga zaidi ya TZS trilioni 1.2 kwa ajili ya miradi ya maji kwa mwaka wa fedha wa 2023/2024.
Miradi hii imelenga kupunguza changamoto za upatikanaji wa maji safi na salama kwa Watanzania wote, huku lengo kuu likiwa kufikia upatikanaji wa maji kwa asilimia 95 mijini na 85 vijijini ifikapo mwaka 2025. Gusa link hii kuendelea kupata taarifa hii zaidi https://matokeochanya.blogspot.com/2024/10/takwimu-chanya-za-utekelezaji-wa-miradi.html…#KaziIemdelee #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya#MSLAC
Soma zaidi »MWENDO KASI LEOTakwimu za Sasa za Utekelezaji wa Mradi wa Mwendo Kasi kwa Mwaka 2024
Mradi wa Mwendo Kasi (BRT) nchini Tanzania unaendelea kupiga hatua kubwa katika utekelezaji wake mwaka 2024, ukilenga kuboresha usafiri wa mijini kwa kupunguza msongamano wa magari na kuharakisha safari za abiria. Awamu za Utekelezaji wa Mradi wa Mwendo Kasi (BRT) Awamu ya Kwanza (Kimara hadi Kivukoni): Mradi huu wenye urefu …
Soma zaidi »