Recent Posts

WATALII 64 WAWASILI DAR KUPITIA RELI YA TAZARA

Watalii 64 kutoka nchini Ujerumani wamewasili Jijini Dar es Salaam leo kupitia reli ya TAZARA wakitokea nchini Afrika ya Kusini kwa kutumia treni maarufu ya kitalii ijulikanayo kama ROVOS ya nchini humo. Watalii hao wamekuja Tanzania kwa ajili ya kutembelea maeneo mbalimbali yenye vivutio vya utalii hapa nchini ikiwemo mbuga …

Soma zaidi »

UJENZI WA RELI YA KISASA

Zipo aina 3 za Mataruma-: 1.Mbao, 2.Chuma na 3.Zege lakin Mataruma ya Zege ni imara ndiyo yanayotumika kwenye ujenzi wa Reli za kiwango cha Kimataifa- SGR kote Duniani, Mataruma haya hutengenezwa kwa Nondo na mchanganyiko wa Zege yenye Saruji Kali. Taruma moja Lina uzani wa Kilo 380

Soma zaidi »

SHILOLE AKIRI NYUMBANI KUMENOGA, AMESHARUDI NYUMBANI

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya (Bongo Flava) na mjasiriamali SHILOLE ametangaza kujiunga na mtandao wa Simu za mkononi wa TTCL katika kampeni ya MKOA2MKOA #RudiNyumbaniKumenoga ni kauli mbiu inayotumiwa na kampuni ya simu ya mawasiliano ya Kitanzania ya TTCL Huduma za mawasiliano kupitia TTCL sasa zinapatikana nchi nzima. Ukiwa …

Soma zaidi »

TANZANIA INATUHITAJI KULIKO TUNAVYOIHITAJI SISI.

#NiSisiSisi Watanzania UZALENDO WA MH. JPM KWA NCHI YAKE  Kwa muda mrefu wa Tanzania pamoja na wapinzani wa nchi yetu tulishawahi kupitia nyakati tofauti tofauti za kiuongozi, zikianzia kwa Baba wa Taifa Mzalendo hayati Mwl. Julius K. Nyerere,Mzee Ruksa A. Mwinyi, Mzee wa Uwazi na Ukweli B.W. Mkapa, Mzee wa …

Soma zaidi »

MATALUMA 1,080 YA RELI MPYA YANAZALISHWA KWA SIKU KIWANDANI SOGA

Katika picha; Mataluma na vifungashio vyake yakiendelea kuzalishwa nchini katika kiwanda kilichopo katika kambi ya ujenzi wa reli ya kisasa-SGR Soga,mkoa wa Pwani, ambapo kiwanda hicho huzalisha mataluma 1080 kwa siku. Kazi ya kutandika mataluma katika tuta la Reli lililojengwa kisasa imeanza tarehe 31 Agosti 2018 na siku chache zijazo …

Soma zaidi »