Recent Posts

Rais Magufuli aonya watendaji kutumika

“Mmesikia hili sakata hili la Dar es Salaam.. eti Mkuu wa Mkoa (Mhe. Paul Makonda) ameleta makontena ameambiwa alipe kodi… kwanini asilipe kodi.? Sasa ukichukua makontena kule.. umezungumza na watu wengine labda au wafanyabiashara.., unasema ni makontena yako halafu unasema ni ya walimu.., wala hata shule hazitajwi.. maana yake nini..? …

Soma zaidi »

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu EWURA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Bw. Felix Ngamlagosi. Bw. Felix Ngamlagosi amesimamishwa kazi kuanzia leo tarehe 11 Juni, 2017. Gerson Msigwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU Dar …

Soma zaidi »