Recent Posts

Rais Magufuli ateua Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Mabalozi wawili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Juni, 2017 amemteua Bibi Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Bibi Anna Elisha Mghwira anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Saidi Meck Sadiki aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo. Wakati huo huo, Mhe. …

Soma zaidi »

Rais Magufuli ataka Jeshi la Polisi kukomesha uhalifu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutumia weledi wake kwa kiwango cha juu katika kutekeleza jukumu lake la kulinda raia na mali zao, hasa kukomesha vitendo vya uhalifu. Mhe. Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo tarehe 02 Juni, 2017 …

Soma zaidi »