Recent Posts

WAZIRI AWESO AITUMIA BASHUNGWA CUP KUWAPA MBINU WABUNGE

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametoa rai kwa wabunge hapa nchini kuziomba  mamlaka zinazowazunguka  kuboresh miundombinu ya  michezo ikiwa ni pamoja na viwanja vya michezo katika maeneo yao ili kuwa katika viwango vinavyotakiwa.  Mhe. Aweso amefafanua kwamba  endapo viwanja vya michezo vitakuwa katika viwango vinavyotakiwa, hali hiyo itawafanya vijana …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, tarehe 12 Septemba, 2021 amefanya uteuzi wa nafasi mbalimbali za uongozi kama ifuatavyo:- Amemteua Mhe. Dkt. STERGOMENA LAWRENCE TAX (Mb), kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.  Mhe. Dkt. TAX anachukua nafasi ya Marehemu ELIAS JOHN KWANDIKWA. …

Soma zaidi »

WAKANDARASI WASISITIZWA KUHESHIMU MIKATABA

Veronica Simba – Tabora Serikali imewataka Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini nchini kote kuheshimu makubaliano ya utendaji kazi yaliyoafikiwa baina ya pande hizo mbili kupitia mikataba waliyosaini. Wito huo ulitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo wakati akizungumza na Wakandarasi wanaotekeleza miradi hiyo Mkoa …

Soma zaidi »

DKT. MWIGULU AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA MISRI

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewakaribisha Wawekezaji kutoka Jamhuri ya Kiarabu ya Misri kuwekeza na kufanya biashara na Tanzania kutokana na uwepo wa mazingira rafiki na fursa za uwekezaji. Waziri nchemba ametoa rai hiyo mjini Cairo Misri, wakati wa Kongamano la Kimataifa la Ushirikiano la Misri (Egypt International …

Soma zaidi »

ZIARA YA KATIBU MKUU DKT. JOHN JINGU GEREZA KUU LA ISANGA DODOMA

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu amelipongeza Jeshi la Magereza kwa kazi nzuri ya kuhakikisha mahabusu na wafungwa magerezani wanapata usimamizi mzuri na kutatuliwa changamoto zao. Dkt. Jingu ameyasema hayo akiwa katika Gereza Kuu la Isanga Jijini Dodoma ikiwa ni ziara yake …

Soma zaidi »

BENKI YA TADB YATOA SH. BIL.281.74 KUENDELEZA KILIMO

Na. Sandra Charles na Regina Frank, WFM, Dodoma Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetoa mikopo yenye jumla ya Shilingi bilioni 281.74 kwa ajili ya kuendeleza miradi ya kilimo, ufugaji na uvuvi nchini kwa wakulima 1,514,695 vikiwemo vyama vya wakulima 151. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri …

Soma zaidi »