Recent Posts

MIMI JUKUMU LANGU NI KUFANYA KAZI – RAIS DKT. MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Desemba, 2018 ameweka jiwe la msingi la upanuzi wa barabara ya Morogoro Jijini Dar es Salaam katika sehemu ya kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye urefu wa Kilometa 19.2. Upanuzi huo utahusisha kuongeza njia za magari …

Soma zaidi »

TANZANIA KINARA UTEKELEZAJI WA MASUALA YA VIJANA NCHI ZA SADC

Tanzania imetajwa kuwa kati ya nchi tano ndani ya jumuiya ya maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SADC ambazo zinatoa kipaumbele kwa masuala yanayohusu vijana. Hayo yameelezwa katika mkutano wa vijana toka nchi za SADC uliofanyika mjini Windhoek, Namibia kati ya tarehe 13 na 15 Disemba 2018 ambapo mkutano …

Soma zaidi »

Serikali inaheshimu haki ya kila mtu – Naibu Waziri Masauni

Serikali imewaasa wananchi kutoa taarifa za kuwepo wahamiaji wanaoishi maeneo mbalimbali  nchini kinyume na sheria  za nchi ili raia wema waweze kufanya shughuli za maendeleo kwa amani na salama huku ikiwaasa watumishi wa Idara ya Uhamiaji kuwa waadilifu katika maeneo yao ya kazi. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam …

Soma zaidi »

BARABARA YA MORO – DOM KUFANYIWA USANIFU ILI KUJENGWA UPYA

Naibu Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa amesema , Serikali inatarajia kufanya usanifu wa  barabara ya Morogoro- Dodoma yenye urefu wa kilometa zipatazo 259 katika mwaka wa fedha wa 2018/2019 kwa ajili ya kupata michoro na gharama halisi ili kujengwa  upya kwa   viwango  cha ubora   na mahitaji …

Soma zaidi »