Mhe. Rais Dkt John Magufuli leo Septemba 03, 2018 atashuhudia utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa meli mpya na chelezo katika Ziwa Victoria, tukio hili linafanyika Jiji Mwanza. Na litarushwa moja kwa moja na TBC1, Azam Tv, ikulu.go.tz na millarday.com
Soma zaidi »Recent Posts
WATALII 64 WAWASILI DAR KUPITIA RELI YA TAZARA
Watalii 64 kutoka nchini Ujerumani wamewasili Jijini Dar es Salaam leo kupitia reli ya TAZARA wakitokea nchini Afrika ya Kusini kwa kutumia treni maarufu ya kitalii ijulikanayo kama ROVOS ya nchini humo. Watalii hao wamekuja Tanzania kwa ajili ya kutembelea maeneo mbalimbali yenye vivutio vya utalii hapa nchini ikiwemo mbuga …
Soma zaidi »UJENZI WA RELI YA KISASA
Zipo aina 3 za Mataruma-: 1.Mbao, 2.Chuma na 3.Zege lakin Mataruma ya Zege ni imara ndiyo yanayotumika kwenye ujenzi wa Reli za kiwango cha Kimataifa- SGR kote Duniani, Mataruma haya hutengenezwa kwa Nondo na mchanganyiko wa Zege yenye Saruji Kali. Taruma moja Lina uzani wa Kilo 380
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AOGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika kwenye ukumbi wa TAMISEMI, Mkapa House jijini Dodoma.
Soma zaidi »SHILOLE AKIRI NYUMBANI KUMENOGA, AMESHARUDI NYUMBANI
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya (Bongo Flava) na mjasiriamali SHILOLE ametangaza kujiunga na mtandao wa Simu za mkononi wa TTCL katika kampeni ya MKOA2MKOA #RudiNyumbaniKumenoga ni kauli mbiu inayotumiwa na kampuni ya simu ya mawasiliano ya Kitanzania ya TTCL Huduma za mawasiliano kupitia TTCL sasa zinapatikana nchi nzima. Ukiwa …
Soma zaidi »TANZANIA INATUHITAJI KULIKO TUNAVYOIHITAJI SISI.
#NiSisiSisi Watanzania UZALENDO WA MH. JPM KWA NCHI YAKE Kwa muda mrefu wa Tanzania pamoja na wapinzani wa nchi yetu tulishawahi kupitia nyakati tofauti tofauti za kiuongozi, zikianzia kwa Baba wa Taifa Mzalendo hayati Mwl. Julius K. Nyerere,Mzee Ruksa A. Mwinyi, Mzee wa Uwazi na Ukweli B.W. Mkapa, Mzee wa …
Soma zaidi »MKUU WA WILAYA YA GAIRO APIGA MARUFUKU UCHIMBAJI HOLELA WA MADINI YA RUBY
Madini ya vito aina ya Ruby ni kati ya madini yanayopatikana Wilaya ya Gairo. Madini hayo yameanza kuchimbwa na mzungu (jina linahifadhiwa) tangu mwaka 2010 katika kijiji cha Chogoali, Kata ya Iyogwe Wilayani Gairo. Kwa mujibu wa maelezo ya wananchi na wazee maarufu madini hayo yalichimbwa kuanzia mwaka 2010 na …
Soma zaidi »MATALUMA 1,080 YA RELI MPYA YANAZALISHWA KWA SIKU KIWANDANI SOGA
Katika picha; Mataluma na vifungashio vyake yakiendelea kuzalishwa nchini katika kiwanda kilichopo katika kambi ya ujenzi wa reli ya kisasa-SGR Soga,mkoa wa Pwani, ambapo kiwanda hicho huzalisha mataluma 1080 kwa siku. Kazi ya kutandika mataluma katika tuta la Reli lililojengwa kisasa imeanza tarehe 31 Agosti 2018 na siku chache zijazo …
Soma zaidi »Ujenzi wa Reli Ya Kisasa ya Umeme; MATARUMA YA YAANZA KUTANDIKWA
• Kazi imeanza ikiwa ni siku nne kabla ya muda rasmi uliopangwa •• Utandikaji umeanzia eneo la Soga Kibaha mkoani Pwani ••• Utandikaji wa Reli kuanza siku chache zijazo •••• Kasi ya uchapaji kazi, ari, kazi ya kukamilisha ujenzi yazidi Usiku na mchana maana #SisiNiTanzaniaMpyA+ yenye kupata Matokeo ChanyA+ katika …
Soma zaidi »LINK YA RADIO CHANYA+
Endeleo kisikiliza Radio ChanyA+ MUDA HUU kwa kutumia simu yako/ laptop/ kopyuta kwa kubofya link hii 👇🏽👇🏽 http://myradiostream.com/mobile/MatokeochanyAtz #SisiNiTanzaniaMpyA+
Soma zaidi »