Recent Posts
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo ameongoza mapokezi ya Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Liu Guozhong ambaye yupo nchini kwa ziara ya Siku Tatu.
Waziri Wa Nchi Mhe Mchengerwa Akutana Na Mkurugenzi Mkazi Wa USAID Tanzania
Waziri wa Nchi @ortamisemitz Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkazi ‘Mission Director” wa Shirika la Misaada la Watu wa Marekani @USAIDTanzania, @craighart kwenye Ofisi ndogo za Wizara zilizopo magogoni jijini Dar es salaam leo
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, Wakuu wa Kamandi, Wakuu wa Matawi na Maafisa Majenerali mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Lugalo Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania (CDF) Jenerali Jacob Mkunda kabla ya kufungua mkutano wa Makamanda kwa mwaka 2023 uliofanyika Lugalo Jijini Dar
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kitaifa nchini Vatican kuanzia tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024 kufuatia mwaliko wa kiongozi mkuu wa Vatican na Kanisa Katoliki duniani Papa Francis.
Tanzania Kushiriki Mkutano Wa MINING INDABA 2024 AFRICA Kusini
Hotuba Ya Rais Kutoka Ikulu
pic.twitter.com/Q5ClGceWhL— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 21, 2024
Soma zaidi »Taarifa Kwa Umma Kutoka TAMISEMI
Rais Samia Suluhu ameshiriki kwenye Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam
Rais @SuluhuSamia ameshiriki kwenye Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024. pic.twitter.com/IEe3wefsUy— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 21, 2024
Soma zaidi »