Recent Posts

SEKRETARIETI YA SADC YA UTATU YAKUTANA KWA DHARURA

Sekretarieti ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC imeitisha mkutano wa dharura wa utatu wa Jumuiya hiyo wenye lengo la kujadili mapendekezo ya Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Afya kuhusu hali ya ugonjwa wa COVID – 19. Katika Mkutano huo uliofanyika kwa njia ya mtandao Tanzania imewakilishwa na …

Soma zaidi »

URUSI: MATATIZO YA AFRIKA YATATULIWE NA WAAFRIKA WENYEWE

Na Mwandishi wetu, Dar Shirikisho la Urusi limesema linaunga mkono jitihada zinazofanywa na Umoja wa Afrika katika kutatua changamoto zinazolikabili bara hilo kwa kuwa matatizo ya Afrika yanahitaji kutatuliwa na Waafrika wenyewe bila kuingiliwa na Mataifa mengine. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Mjumbe Maalum wa Rais wa Shirikisho …

Soma zaidi »

TANZANIA YAZINDUA RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 40 YA SADC

Tanzania imezindua rasmi maadhimisho ya Miaka 40 tangu kuanzishwa kwa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ilinzishwa rasmi tarehe 1 Aprili 1980. Akiongelea uzinduzi wa maadhimisho hayo Jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amesema Tanzania ikiwa ni miongoni …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AZITAKA TPA, TRA, TASAC NA EGA ZIFANYE KAZI KWA USHIRIKIANO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania, Mamlaka ya Bandari Tanzania na Mamlaka ya Serikali Mtandao kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuboresha utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam Ameyasema hayo (Jumatano, Mei 12, 2021) alipotembelea bandari ya Dar es Salaam ili kuona utendaji wa bandari hiyo. “TPA …

Soma zaidi »