Recent Posts

BARABARA YA MBINGA -MBAMBABAY KUFUNGUA FURSA MPYA ZA UCHUMI RUVUMA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema kukamilika kwa ujenzi wa kiwango cha lami kwa barabara ya Mbinga hadi Mbambabay  yenye urefu wa kilometa 66 kunafungua fursa mpya za kiuchumi. Mndeme alikuwa anazungumza wakati anafungua kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Ruvuma kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya …

Soma zaidi »

WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI AMTAKA MKANDARASI UJENZI DARAJA LA MAGUFULI JIJINI MWANZA KUTOA AJIRA ZA VIBARUA KWA WAZAWA

Muonekano wa sasa wa Daraja la Kigongo-Busisi, lenye urefu wa wa mita 3200, na barabara unganishi (km1.66). Daraja hili linagharamiwa na Serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kwa asilimia 100. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magufuli  jijini Mwanza, kutoa ajira …

Soma zaidi »

WALIOKAIDI MKATABA WA NARCO KIKAANGONI NDANI YA SIKU KUMI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki ametoa siku kumi kwa Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) kubaini na kuwanyang’anya maeneo, wawekezaji waliopatiwa vitalu katika ranchi za taifa ambao wamebadili matumizi ya ardhi kinyume na makubaliano ya mikataba yao. Waziri Ndaki amebainisha hayo jana (12.01.2021) wakati alipotembelea Ranchi ya …

Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI ATAKA WATENDAJI WA MITAA KUSIMAMIA ARDHI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanashusha usimamizi wa masuala ya ardhi kwa watendaji wa mitaa na vijiji na sio kwa wenyeviti wa mitaa na vijiji kama ilivyo sasa ili kuepuka migogoro ya ardhi, ujenzi holela na kurahisisha ufuatiliaji …

Soma zaidi »

RAIS NYUSI: RAIS MAGUFULI ANASHUGHULIKIA MAISHA YA WATU

Na Immaculate Makilika- MAELEZO, Chato Rais wa Msumbiji, Felipe Jacinto Nyusi amesema kuwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anashughulikia maisha ya wananchi kwa kuendelea kuboresha sekta ya  huduma za afya nchini. Rais Nyusi amesema hayo leo wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa …

Soma zaidi »