Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amesema kuwa takwimu sahihi ni jambo muhimu kwa serikali katika kupanga maendeleo ya watu wake. Amesema hayo katika uzinduzi wa mfumo mpya wa kidigitali wa usajili wa matukio ya kijamii, huko Dunga Wilaya ya Kati …
Soma zaidi »Recent Posts
September, 2018
-
2 September
UJENZI WA RELI YA KISASA
Zipo aina 3 za Mataruma-: 1.Mbao, 2.Chuma na 3.Zege lakin Mataruma ya Zege ni imara ndiyo yanayotumika kwenye ujenzi wa Reli za kiwango cha Kimataifa- SGR kote Duniani, Mataruma haya hutengenezwa kwa Nondo na mchanganyiko wa Zege yenye Saruji Kali. Taruma moja Lina uzani wa Kilo 380
Soma zaidi » -
1 September
SHILOLE AKIRI NYUMBANI KUMENOGA, AMESHARUDI NYUMBANI
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya (Bongo Flava) na mjasiriamali SHILOLE ametangaza kujiunga na mtandao wa Simu za mkononi wa TTCL katika kampeni ya MKOA2MKOA #RudiNyumbaniKumenoga ni kauli mbiu inayotumiwa na kampuni ya simu ya mawasiliano ya Kitanzania ya TTCL Huduma za mawasiliano kupitia TTCL sasa zinapatikana nchi nzima. Ukiwa …
Soma zaidi » -
1 September
TANZANIA INATUHITAJI KULIKO TUNAVYOIHITAJI SISI.
#NiSisiSisi Watanzania UZALENDO WA MH. JPM KWA NCHI YAKE Kwa muda mrefu wa Tanzania pamoja na wapinzani wa nchi yetu tulishawahi kupitia nyakati tofauti tofauti za kiuongozi, zikianzia kwa Baba wa Taifa Mzalendo hayati Mwl. Julius K. Nyerere,Mzee Ruksa A. Mwinyi, Mzee wa Uwazi na Ukweli B.W. Mkapa, Mzee wa …
Soma zaidi » -
1 September
MKUU WA WILAYA YA GAIRO APIGA MARUFUKU UCHIMBAJI HOLELA WA MADINI YA RUBY
Madini ya vito aina ya Ruby ni kati ya madini yanayopatikana Wilaya ya Gairo. Madini hayo yameanza kuchimbwa na mzungu (jina linahifadhiwa) tangu mwaka 2010 katika kijiji cha Chogoali, Kata ya Iyogwe Wilayani Gairo. Kwa mujibu wa maelezo ya wananchi na wazee maarufu madini hayo yalichimbwa kuanzia mwaka 2010 na …
Soma zaidi »
August, 2018
-
31 August
Rais Magufuli aonya watendaji kutumika
“Mmesikia hili sakata hili la Dar es Salaam.. eti Mkuu wa Mkoa (Mhe. Paul Makonda) ameleta makontena ameambiwa alipe kodi… kwanini asilipe kodi.? Sasa ukichukua makontena kule.. umezungumza na watu wengine labda au wafanyabiashara.., unasema ni makontena yako halafu unasema ni ya walimu.., wala hata shule hazitajwi.. maana yake nini..? …
Soma zaidi »