Maktaba Kiungo: AFRIKA MASHARIKI

MAWAZIRI WA NISHATI WA AFRIKA MASHARIKI WAAHIRISHA MKUTANO WAO

Mawaziri wenye dhamana na sekta ya nishati kutoka nchi sita zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameahirisha Mkutano wao uliopangwa kufanyika Arusha, Juni 7 mwaka huu. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa EAC anayeshughulikia Sekta ya Uzalishaji, Jean Baptiste Havugimana, ilieleza kuwa Mkutano huo utafanyika siku nyingine katika tarehe itakayobainishwa na …

Soma zaidi »

WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA JUMUIA YA MABOHORA

Jumuia ya Mabohora Nchini imesema imeanza jitihada za kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli za kuhamia Dodoma kwa kuanza kuhamishia baadhi ya biashara zao mkoni humo. Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Jumuia ya Mabohora Zainuddin Adamjee akiwa na ujumbe wake …

Soma zaidi »

LIVE CATCH UP: WAZIRI PROF. KABUDI AKIZUNGUMZIA UJUMBE ULIOFIKA NCHINI KUTOKA QATAR NA NORWAY

Aelezea ujio wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Qatar aliyefika nchini siku Jumatano tarehe 20 Machi, 2019 na kuondoka Alhamisi tarehe 21 Machi, 2019. Qatar kushirikiana na Tanzania katika uwekezaji kwenye uchimbaji na uvunaji wa gesi pamoja na uwekezaji katika uwekezaji wa hoteli …

Soma zaidi »