UJENZI WA GATI NAMBA MOJA WAKAMILIKA KATIKA BANDARI YA DAR
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema ujenzi wa gati namba moja umekamilika kati ya gati nane zinazotarajiwa kujengwa na kuongeza kuwa ujenzi wa gati namba mbili utakamilika Julai katikati na litakuwa na urefu wa mita 255. Waziri Kamwele amesema hayo leo katika bandari ya Dar es …
Soma zaidi »BANDARI YA MUSOMA YAONGEZA MAKUSANYO YAKE YA KILA MWEZI
DKT. ABBASI – SERIKALI INAENDELEA NA MAJADILIANO BANDARI YA BAGAMOYO
Mkurugenzi na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali inaendelea na majadiliano kuhusu kuendelea na ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Mkoani Pwani ili kuona kama inaweza kuwa na tija kiuchumi kwa upande wa Tanzania. Dkt. Abbasi alisema Serikali ina uwezo wa kujenga bandari nyingi na kwa kuwa Tanzania …
Soma zaidi »UJENZI WA GATI JIPYA (RO-RO) KWA AJILI YA MAGARI UNAENDELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM
WAFANYABIASHARA MIKOA YA KANDA YA KASKAZINI WAONESHA NIA YA KUITUMIA BANDARI YA TANGA
Wafanyabiashara wa Mikoa ya kanda ya Kaskazini wameonesha nia ya kuanza kutumia Bandari ya Tanga kupitisha shehena ya mizigo yao baada ya kuridhishwa na mabadiliko makubwa ya mfumo wa utendaji wa Bandari hiyo. Wameonesha nia hiyo kwenye mkutano wa siku moja baina ya Uongozi wa mamlaka hiyo na wafanyabiashara hao …
Soma zaidi »UPANUZI WA BANDARI GATI NAMBA MOJA WAFIKIA ASILIMIA 100
Upanuzi wa bandari ya Dar es Salaam umefikia hatua nzuri baada ya kukamilka kwa upanuzi wa gati namba moja kwa asilimia 100 huku meli ya kwanza ikitarajiwa kutia nanga wiki moja ijayo ikishuhudiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano. Hayo yameelezwa jana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi …
Soma zaidi »MRADI WA UPANUZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM WAFIKIA ASILIMIA 42
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa upanuzi wa bandari, ujenzi wa magati na kuongeza kina cha kupakia na kupakua mizigo kwenye Bandari ya Dar es Salaam Nditiye amesema kuwa ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya maendeleo ya mradi huo …
Soma zaidi »MBEYA CEMENT WAANZA KUTUMIA BANDARI YA KYELA
Kampuni kubwa ya kuzalisha saruji ya Mbeya Cement imeanza kutumia huduma za Bandari ya Kyela kwa kusafirisha tani 1,000 za makaa ya mawe. Tani hizo za makaa ya mawe zimepokelewa katika Bandari ya Kiwira leo.
Soma zaidi »MUONEKANO WA UJENZI WA GATI JIPYA JIJINI DAR
Muonekano wa Ujenzi wa Gati jipya katika Bandari ya jijini Dar es Salaam unavyoendalea “DMGP”.
Soma zaidi »