MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI YATUMIA SHILINGI BILIONI 20.1 UJENZI WA MELI TATU ZIWA NYASA, IMO MELI MPYA YA ABIRIA,MIZIGO
Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii Meneja wa Bandazi za Ziwa Nyasa Abedi Gallus, amesema Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) kuna miradi mikubwa minne inayoendelea kutekelezwa katika mwaka wa fedha wa 2019/2019 ukiwemo mradi ujenzi wa meli katika Ziwa Nyasa ambao umegharimu Sh.bilioni 20.1 ikiwa ni mkakati wa …
Soma zaidi »BANDARI YA KIWIRA LANGO KUU LA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KATIKA ZIWA NYASA – MENEJA ABEDI GALLUS
Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii Imeelezwa kuwa Bandari ya Kiwira ni lango kuu la usafirishaji wa mizigo katika Ziwa Nyasa ambapo asilimia zaidi ya 90 ya shehena zinazohudumiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) katika ziwa hilo hupitia katika bandari hiyo. Hayo yameelezwa na Meneja wa Bandazi …
Soma zaidi »TPA YAWEKA MIUNDOMBINU BANDARI YA ZIWA NYASA KUHAKIKISHA WANANCHI WANAPATA HUDUMA YA USAFIRI
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) imesema imeshaweka miundombinu katika bandari za Ziwa Nyasa kwa lengo la kuhakikisha wananchi wa maeneo wanaozunguka ziwa hilo wanapata huduma ya kusafiri kutoka eneo moja kwenda nyingine kwa kutumia usafiri wa majini zikiwemo meli. Akizungumza na waandishi wa habari katika mahojiano maalumu , Meneja …
Soma zaidi »MRADI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU BANDARI YA KABWE MKOANI RUKWA WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 85
Ujenzi wa mradi wa miundombinu katika Bandari ya Kabwe mkoani Rukwa ambao unagharimu Sh.bilioni 7.498 tayari umekamilika kwa asilimia 85 na mkandarasi wa ujenzi huo ambaye ni Sumry’s Enterprises Ltd anatarajia kuukabidhi mradi huo Aprili mwaka 2020. Kwa mujibu wa Meneja Msaidizi wa Mradi wa gati ya Bandari ya Kabwe …
Soma zaidi »MENEJA BANDARI ZA ZIWA TANGANYIKA AELEZEA UJENZI WA MIUNDOMBINU KATIKA BANDARI YA KIPILI, KIRANDO
Wafanyabishara kutoka nchini Congo watuma ujumbe kwa Rais Magufuli kuhusu ujirani mwema Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) imesema kuwa ujenzi wa miundombinu katika bandari ya Kipili upo hatua za mwisho kukamilika ambapo awamu ya kwanza ya ujenzi imegharimu Sh.bilioni 4.356 na mradi wa pili katika bandari hiyo umehusisha ujenzi …
Soma zaidi »WATUMISHI FANYENI KAZI KWA UADILIFU, UTIIFU NA WELEDI – SHIGELA
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela amewataka watumishi wa Umma kufanya kazi kwa kuzingatia maadili ya utumishi, Uadilifu, utiifu, weledi, taratibu na sheria za kazi katika kutumiza majukumu yao kila siku. Shigela alisema hayo, Novemba 14, 2019 kwa niaba ya Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Utumishi, Dkt. Laurian Ndumbaro, …
Soma zaidi »WAZIRI LUKUVI AAGIZA WANANCHI WOTE KULIPWA FIDIA AMBAO BADO HAJALIPWA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ameziagiza Halmashauri za Miji pamoja na watu wenye mashamba makubwa wahakikishe wanawalipa fidia Wananchi wote ambao hawajalipwa kwa muda mrefu tangu kufanyika kwa tathmini kwani wananchi wengi wamekuwa wakiishi ndani ya mashamba yao kwa muda mrefu na wakiamishwa hawalipwi …
Soma zaidi »TANGA WAKABIDHIWA JENGO LA MAHAKAMA YA MWANZO MAGOMA
UJENZI WA GATI JIPYA WASHIKA KASI BANDARI YA DSM
Ujenzi wa Gati jipya unazidi kushika kasi katika Bandari ya Dar Es Salaam, ambapo kwa sasa Mkandarasi anaendelea na kazi ya kujenga eneo la kupokelea mizigo kama inavyoonekana kwenye picha.
Soma zaidi »