Maktaba Kiungo: Baraza la Mawaziri

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE KITAIFA MKOANI SONGWE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa Wananchi wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutumia mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu 2019 kumkumbuka Baba wa Taifa kwa kupinga vitendo vya dhulma, ufisadi, rushwa, maradhi, chuki, dharau na kuwataka kuenzi …

Soma zaidi »

UTOAJI WA ELIMU BORA NI KIPAUMBELE CHA NCHI – WAZIRI MKUU MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema utoaji wa elimu bora kwa Watanzania ni moja ya vipaumbele vya nchi katika kuleta maendeleo na kufikia malengo ya Milenia 2025, Elimu kwa wote (EFA) na Mkakati wa Kupambana na Kupunguza Umasikini Tanzania (MKUKUTA). Amesema ili kuweza kufanikisha malengo hayo wanahitaji sekta hiyo kuwa bora, …

Soma zaidi »

PBPA YATAKIWA KUHAKIKISHA KUWA BANDARI ZOTE ZINATUMIKA KUPOKEA NA KUSHUSHA MAFUTA

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameitaka Bodi ya Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) kuhakikisha kuwa bandari zote nchini zinatumika katika shughuli za kupokea na kushusha mafuta ili kuongeza wigo wa upatikanaji  mafuta katika sehemu mbalimbali nchini. Aliyasema  hayo jijini Dar es Salaam wakati wa kikao chake …

Soma zaidi »