LIVE IKULU: RAIS DKT MAGUFULI ANAKUTANA NA WABUNIFU WADOGO WA MITAMBO YA KUFUA UMEME
TANZANIA YARIDHIA AfDB KUONGEZEWA MTAJI
Tanzania imeunga mkono uamuzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB wa kutaka kuongezewa mtaji ili iweze kutekeleza majukumu yake ya kutoa mikopo kwa nchi wanachama wa benki hiyo kwa lengo la kuchochea zaidi maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Akizungumza baada ya kumalizika kwa mkutano wa 7 wa magavana wa ambao …
Soma zaidi »MIMI JUKUMU LANGU NI KUFANYA KAZI – RAIS DKT. MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Desemba, 2018 ameweka jiwe la msingi la upanuzi wa barabara ya Morogoro Jijini Dar es Salaam katika sehemu ya kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye urefu wa Kilometa 19.2. Upanuzi huo utahusisha kuongeza njia za magari …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI ANAWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA MRADI WA UPANUZI WA BARABARA YA MOROGORO
Itajengwa kwa njia nane Ujenzi wa awamu ya kwanza utakuwa na km 19.2 kutoka eneo la Kimara hadi Kibaha. Fuatilia kwa kubofya link hii; au bofya link hii;
Soma zaidi »WAZIRI MKUU – BENKI KUU SASA ITADHAMINI MIKOPO YA MTAJI YA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO KATIKA MABENKI!
“Leo nimepita eneo nimekuta Bank Kuu.. na wenyewe Benk ya Biashara NBC.. wananiambia, sisi tuko tayari kutoa mikopo kwa wajasiliamali (wa Madini); ili wanunue mitambo, wanunue vifaa vingine vya kusaidia kuchimba.. lakini pia na kuboresha.” – Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa. 30/09/2018, Geita “Benki Kuu wanasema, ni nyie tu (wachimbaji …
Soma zaidi »MABENKI YETU, SASA TAMBUENI MADINI KAMA DHAMANA KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO – WAZIRI MKUU
“Mabenki yetu anzisheni utaratibu wa kuweka.. dhamana, kuweka madini ya wananchi.. nunueni dhahabu. Nunueni dhahabu; Ili hawa wananchi badala ya kuhangaika kwenda kwenye minada amabapo wanalaliwa laliwa, aende benki ahifadhi kule.” – Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa “Badala ya kuleta fedha eweke madini yake.. atakuja kuyachukua mwakani nayo yatakuwa yameongezeka thamani. …
Soma zaidi »