Maktaba Kiungo: BoT

SERIKALI IMELIPA MALIPO YA AWALI YA SH. BILIONI 688.651 KWENYE MRADI WA MAPOROMOKO YA MTO RUFUJI

Akikabidhi hundi hiyo Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James amesema kwa hivi sasa nchi inajumla ya Mw 1602, hivyo kukamilika kwa mradi wa Rufiji kutaifanya nchi kuwa na umeme mwingi na wa uhakika. Aliongeza mradi huu unagharamiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU – BENKI KUU SASA ITADHAMINI MIKOPO YA MTAJI YA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO KATIKA MABENKI!

“Leo nimepita eneo nimekuta Bank Kuu.. na wenyewe Benk ya Biashara NBC.. wananiambia, sisi tuko tayari kutoa mikopo kwa wajasiliamali (wa Madini); ili wanunue mitambo, wanunue vifaa vingine vya kusaidia kuchimba.. lakini pia na kuboresha.” – Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa. 30/09/2018, Geita “Benki Kuu wanasema, ni nyie tu (wachimbaji …

Soma zaidi »

MABENKI YETU, SASA TAMBUENI MADINI KAMA DHAMANA KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO – WAZIRI MKUU

“Mabenki yetu anzisheni utaratibu wa kuweka.. dhamana, kuweka madini ya wananchi.. nunueni dhahabu. Nunueni dhahabu; Ili hawa wananchi badala ya kuhangaika kwenda kwenye minada amabapo wanalaliwa laliwa, aende benki ahifadhi kule.” – Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa “Badala ya kuleta fedha eweke madini yake.. atakuja kuyachukua mwakani nayo yatakuwa yameongezeka thamani. …

Soma zaidi »