Maktaba Kiungo: Bunge La Tanzania

video:DC KATAMBI; Kila Familia mjini Dodoma ni lazima ipande miti mitatu.

• Zoezi linaanza baada ya tango la Mhe. Dc Katambi • Kila familia itakayopanda miti hiyo itawajibika kuiyunza wakati wote • Ukaguzi wa mara kwa mara kufanyika kukagua miti iliyopandwa nyumba kwa nyumba. Fuatilia agizo la Mhe. Katambi kwa kubofya link hii 👇🏽 https://youtu.be/YWZK6g-Ro9Y

Soma zaidi »

Rangi ya njano inawakilisha madini yote, sio dhahabu pekee yake – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefuta mara moja maelekezo ya barua yenye kumbukumbu namba CHA.56/193/02/16 ya tarehe 23 Novemba, 2018 iliyoandikwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (Baada ya kupokea maelekezo ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi) kwenda kwa Wakuu …

Soma zaidi »