Maktaba Kiungo: CHUO KIKUU DAR ES SALAAM – UDSM

UFAFANUZI WA UDAHILI WA WANAFUNZI MWAKA WA KWANZA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM.

Ni ule wa kufutiwa kuchaguliwa kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza 2018/19 zaidi ya 680. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam – Taaluma Prof. Bonaventure Rutinwa atoa ufafanuzi. Fuatilia katika video hii Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako atoa maelekezo kwa Chuo …

Soma zaidi »