Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Ali Davutoglu ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Lengo likiwa ni kuboresha uhusiano kati ya Bunge na Ubalozi huo, pia kujifunza shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania.
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKIWA KATIKA ZIARA MKOANI MARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa shilingi milioni moja Nyambura Nyamarasa ambaye alikuwa na kero ya kulishiwa na shamba lake na mfugaji mmoja huko Mugumu Serengeti mkoani Mara.
Soma zaidi »RaisDkt Magufuli akutana na Spika Mstaafu Pius Msekwa.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wenyeji wake spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa na Mkewe Mama Anna Abdallah Msekwa Ikulu ndogo Nansio Ukerewe Mkoani Mwanza.
Soma zaidi »UZINDUZI WA OFISI ZA KIDIJITALI ZA USAJILI WA MATUKIO YA KIJAMII ZANZIBAR
https://www.facebook.com/Ikuluzanzi/videos/328800437694452/
Soma zaidi »WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA USHIRIKIANO KATI YA CHINA NA AFRIKA JIJINI BEIJING
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHUTUBIA KONGOMANO LA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA CHINA- BEIJING
RAIS MAGUFULI KUSHUDIA UTIAJI SAINI WA MKATABA WA UJENZI WA MELI
Mhe. Rais Dkt John Magufuli leo Septemba 03, 2018 atashuhudia utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa meli mpya na chelezo katika Ziwa Victoria, tukio hili linafanyika Jiji Mwanza. Na litarushwa moja kwa moja na TBC1, Azam Tv, ikulu.go.tz na millarday.com
Soma zaidi »WATALII 64 WAWASILI DAR KUPITIA RELI YA TAZARA
Watalii 64 kutoka nchini Ujerumani wamewasili Jijini Dar es Salaam leo kupitia reli ya TAZARA wakitokea nchini Afrika ya Kusini kwa kutumia treni maarufu ya kitalii ijulikanayo kama ROVOS ya nchini humo. Watalii hao wamekuja Tanzania kwa ajili ya kutembelea maeneo mbalimbali yenye vivutio vya utalii hapa nchini ikiwemo mbuga …
Soma zaidi »MATALUMA 1,080 YA RELI MPYA YANAZALISHWA KWA SIKU KIWANDANI SOGA
Katika picha; Mataluma na vifungashio vyake yakiendelea kuzalishwa nchini katika kiwanda kilichopo katika kambi ya ujenzi wa reli ya kisasa-SGR Soga,mkoa wa Pwani, ambapo kiwanda hicho huzalisha mataluma 1080 kwa siku. Kazi ya kutandika mataluma katika tuta la Reli lililojengwa kisasa imeanza tarehe 31 Agosti 2018 na siku chache zijazo …
Soma zaidi »LINK YA RADIO CHANYA+
Endeleo kisikiliza Radio ChanyA+ MUDA HUU kwa kutumia simu yako/ laptop/ kopyuta kwa kubofya link hii 👇🏽👇🏽 http://myradiostream.com/mobile/MatokeochanyAtz #SisiNiTanzaniaMpyA+
Soma zaidi »