Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kwa kutambua umuhimu wa sekta ya utalii kwa uchumi wa nchi yetu, na kwamba ili kuweza kupata watalii wengi zaidi lazima kuwa na usafiri wa anga ulio na uhakika; ndiyo maana Serikali imeamua kufufua shirika letu …
Soma zaidi »Tani Zaidi ya 7,000 Za Reli Zawasili Bandari ya Dar Es Salaam
Zimeshaanza kupakuliwa kutoka kwenye meli Kazi ya kuzipakua itachukua siku 7 zitaanza kufungwa katika malaruma mwezi huu huu Septemba 2018 Ujenzi wa Reli ya mwendo kazi kipande cha Dar – Morogoro kukamilika mapema zaidi ya muda uliokisiwa maana #SisiNiTanzaniaMpyA+.. inayopata Matokeo ChanyA+ 110% katika kila nyanja ya kukuza na kujenga …
Soma zaidi »MATALUMA 1,080 YA RELI MPYA YANAZALISHWA KWA SIKU KIWANDANI SOGA
Katika picha; Mataluma na vifungashio vyake yakiendelea kuzalishwa nchini katika kiwanda kilichopo katika kambi ya ujenzi wa reli ya kisasa-SGR Soga,mkoa wa Pwani, ambapo kiwanda hicho huzalisha mataluma 1080 kwa siku. Kazi ya kutandika mataluma katika tuta la Reli lililojengwa kisasa imeanza tarehe 31 Agosti 2018 na siku chache zijazo …
Soma zaidi »LINK YA RADIO CHANYA+
Endeleo kisikiliza Radio ChanyA+ MUDA HUU kwa kutumia simu yako/ laptop/ kopyuta kwa kubofya link hii ๐๐ฝ๐๐ฝ http://myradiostream.com/mobile/MatokeochanyAtz #SisiNiTanzaniaMpyA+
Soma zaidi »SGR YAKAMILIKA KWA 22%
Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya kwa ajili ya treni ya kisasa ya Umeme imekamilika kwa 22% imefikia hatua ya utandikaji wa MATALUMA yanatandikwa siku 6 zijazo. #SisiNiTanzaniaMpyA+ yenye #Matokeo ChanyA+ katika kila nyanja ya kukuza uchumi imara na madhubuti. #TunachapaKazi #MATAGA
Soma zaidi »