Kiasi cha fedha za kitanzania bilioni 90 zimetolewa na Serikali ya Canada kupitia mradi wa Global Afairs kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa vyuo vya ualimu nchini ikiwemo chuo cha Kabanga ambacho kipo katika hatua za awali. Akifungua mkutano wa wadau kitengo cha mafunzo ya elimu yanayolenga utoaji wa …
Soma zaidi »KINONDONI YA TUMIA BILIONI 1.5 UJENZI WA MADARASA YA SHULE ZA MSINGI
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya ujenzi na ukaratabati wa vyumba 107 vya madarasa pamoja na matundu ya choo 157 kwa wanafunzi wa shule za msingi zilizopo katika Halmashauri hiyo. Hayo yamebainisha na Afisa elimu msingi wa Halmashauri hiyo Kiduma Mageni wakati …
Soma zaidi »MWANAFUNZI WA MALANGALI AINGIA KUMI BORA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE
#SisiTumeona SISI WATANZANIA TUNAWEZA Hivi sasa watoto wetu wanapata elimu bure bila malipo! ——————————— Matokeo ya Kidato cha Nne yametoka. Matokeo haya ni muhimu zaidi kwa Taifa letu sababu kadhaa. Kwanza; Haya ni matokeo ya kidato cha Nne cha kwanza kutoka baada ya Serikali kupitisha uamuzi wa wanafunzi wa elimu …
Soma zaidi »BARAZA LA MITIHANI (NECTA) LATANGAZA MATOKEO YA KITADO CHA NNE NA KIDATO CHA PILI MWAKA 2019
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne na kidato cha pili kwa mwaka 2019. 1.Matokeo Kidato cha NNE: BOFYA HAPA au BOFYA HAPA 2.Matokeo Kidato cha PILI :BOFYA HAPA au BOFYA HAPA 3. Matokeo ya Mtihani wa Maarifa (QT): BOFYA HAPA
Soma zaidi »RC MAHENGE ATAKA WANAFUNZI WOTE WALIOFAULU NA KUCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA KWANZA WARIPOTI SHULENI
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge ameziagiza halmashauri nane za Mkoa wa Dodoma kusimamia na kuhakikisha wanafunzi wote elfu 33,803 waliofaulu darasa la saba na kuchaguliwa kujiunga kidato cha kwanza wanaripoti shuleni na kuanza masomo ifikapo Januari 6 mwaka huu. Dkt. Mahenge ametoa kauli hiyo januari 3 kwenye kikao …
Soma zaidi »DC CHONGOLO AKABIDHI MADARASA, OFISI ZA WALIMU KATIKA SHULE YA SEKONDARI TWIGA NA KIGOGO
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amekabidhi madarasa sita na ofisi tatu za walimu katika Shule ya Sekondari Kigogo iliyopo kwenye Kata hiyo pamoja na Shule ya Sekondari Twiga iliyopo Kata ya Wazo ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wakuhakikisha kuwa hakuna mwanafunzi anakosa nafasi ya kusoma kwa …
Soma zaidi »WARSHA JUU YA MAJADILIANO YA PAMOJA YA SHERIA MOJA YA UDHIBITI KATIKA UCHIMBAJI WA MADINI YA URANI
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Ulaya (EU) inaendesha warsha ya kuboresha shughuli za kisheria na uhakiki ili kuboresha uwezo uliopo katika kudhibiti madini ya urani. Warsha hii ya siku tatu ambayo imeanza tarehe 19 hadi tarehe 21, …
Soma zaidi »KIKUNDI CHA WAKE WA VIONGOZI CHAKABIDHI MADARASA MANNE NA VYOO KUMI KWA KUTUO CHA WATOTO WENYE MAHITAHJI MAALUM CHA BUHANGIJA
Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa ametoa wito kwa wazazi na walezi watoto wenye mahitaji maalumu kutowaficha na kuwatelekeza na badala yake wawape nafasi ya kupata elimu kwa sababu ni haki yao ya msingi. Mama Majaliwa ambaye pia ni Mlezi wa Umoja wa Wake wa Viongozi (New Mellenium Women …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI NDITIYE AZINDUA UUNGANISHAJI WA SHULE ZA SIMIYU KWENYE INTANETI
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amezindua uunganishaji wa shule za sekondari za Mkoa wa Simiyu kwenye mtandao wa intaneti kwa kuzifunga kompyuta mia moja zilizotolewa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na kompyuta za mpakato ishirini zilizotolewa na Kampuni ya Vodacom kwenye mtandao wa intaneti …
Soma zaidi »