Maktaba Kiungo: Elimu

SERIKALI YA CANADA YATOA FEDHA ZA KITANZANIA BILIONI 90 KWA AJILI YA UJENZI WA MRADI WA VYUO VYA UALIMU NCHINI

Kiasi cha fedha za kitanzania bilioni 90 zimetolewa na Serikali ya Canada kupitia mradi wa  Global Afairs kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa vyuo vya ualimu nchini ikiwemo chuo cha Kabanga ambacho kipo katika hatua za awali. Akifungua mkutano wa wadau kitengo cha mafunzo ya elimu yanayolenga  utoaji wa …

Soma zaidi »

TRA – WAFANYABIASHARA MSIJIHUSISHE NA BIASHARA ZA MAGENDO

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara na wachuuzi wanaoishi jirani na fukwe za Bahari ya Hindi kutojihusisha na biashara za magengo kwani kufanya hivyo ni kuisababishia nchi kukosa mapato yake stahiki kutokana na wahusika wa biashara hizo kukwepa kulipa kodi. Akizungumza na wafanyabiashara hao katika fukwe za bahari za …

Soma zaidi »

RC MAHENGE ATAKA WANAFUNZI WOTE WALIOFAULU NA KUCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA KWANZA WARIPOTI SHULENI

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge ameziagiza halmashauri nane za Mkoa wa Dodoma kusimamia na kuhakikisha wanafunzi wote elfu 33,803 waliofaulu darasa la saba na kuchaguliwa kujiunga kidato cha kwanza wanaripoti shuleni na kuanza masomo ifikapo Januari 6 mwaka huu. Dkt. Mahenge ametoa kauli hiyo januari 3 kwenye kikao …

Soma zaidi »