Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 20 Desemba, 2018 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja jipya la Selander linalounganisha eneo la Aga Khan na Coco Beach Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika barabara ya …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKIKAGUA GWARIDE KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KULA KIAPO NOVEMBA 05, 2015.
ENG. MFUGALE NI MFANO WA KUIGWA KWA UTUMISHI ULIOTUKUKA TANZANIA!
Kufuatia uamuzi wa Mhe. Rais Magufuli kuwa Flyover ya makutano ya barabara ya Nyerere na Mandela iitwe Mfugale Flyover, Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi, Mhandisi Prof. Ninatubu Lema amesoma wasifu wa Mhandisi Patrick Aron Lipilima Mfugale na kueleza kuwa ameitumikia nchi akiwa Mhandisi kwa miaka 41 ambapo katika …
Soma zaidi »LIVE (online Radio ChanyA+ & TV: RAIS MAGUFULI ANAZINDUA FLYOVER YA ENG. MFUGALE
Pia fuatilia kupitia RADIO, Online radio ya Matokeo ChanyA+ kwa kubofya link ifuatayo; HAPA http://myradiostream.com/mobile/MatokeochanyAtz
Soma zaidi »SASA MAENDELEO YANAONEKANA!
• Wananchi wazungumza namna Eng. Mfugale Flyover inavyoiacha TAZARA jeupe • Wasifu na kupongeza wote waliofanikisha ujenzi wa Flyover hiyo. • Sasa foleni yawa historia eneo la TAZARA • Kutokea Posta/Airport sasa hakuna kusimama eneo la TAZARA #SisiNiTanzaniaMpyA+ #MATAGA 💪🏿💪🏿 ( Bofya link 👇🏽)
Soma zaidi »#TupoVizuri; Utandikaji Reli SGR Waanza Rasmi!
• Kwa siku chache zijazo km 55 zitakuwa tayari zimekamilika kutandikwa reli ya kisasa – SGR. • Waziri wa Mawasiliano, Ujenzi na Uchukuzi Eng. Isack Kamwele azindua zoezi hilo rasmi. • Kasi ya ujenzi yawa kubwa huku ari ya utendaji wa wafanyakazi ikingezeka maradufu. hakika maendeleo yanaonekana… maana #SisiNiTanzaniaMpyA+ yenye …
Soma zaidi »MAGARI YARUHUSIWA RASMI KUTUMIA FYLOVER YA TAZARA
Daladala na magari mengine kutoka Posta kuelekea Airport yapita upande wake bila kusimama na hata yale yanayotoka Airport kuelekea Posta nayo yanapita bila kusubiri kuongozwa na taa. Magari yanayotumia barabara ya Mandela ndiyo pekee yanaongozwa na taa za kisasa zilizofungwa katika kuta nzito za sehemu ya katikati ya flyover hiyo. …
Soma zaidi »