Maktaba Kiungo: FAHARI YA TANZANIA

SERIKALI KUTENGA BAJETI KWA AJILI YA UZALISHAJI WA PAMBA MBEGU VIPARA -BASHUNGWA

Serikali imeeleza kuwa imejipanga kuimarisha zao la Pamba ili kuongeza uzalishaji nchini kwani kufanya hivyo wakulima watanufaika katika uzalishaji wenye tija na kuimarisha biashara. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Kilimo Innocent Bashungwa wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Muhunze kilichopo katika Wilaya ya Kishapu wakati …

Soma zaidi »

SIKU YA WAPENDANAO YA KIPEKEE TANZANIA

Imefanyika usiku wa siku ya wapendanao (valentine’s day) Iliandaliwa jijini Mbeya   Ilihusisha viongozi mbali mbali, wakazi wa mkoa wa Mbeya, mikoa jirani sambamba na wapendanao walioongozwa na Mhe. Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Tulia Akson   Waliafikiana kuisaidia ujenzi wa nyumba, malazi, kuwaonyesha …

Soma zaidi »

TFDA NI YA KWANZA BARANI AFRIKA KWA MIFUMO BORA YA UDHIBITI

Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imesema katika kipindi Cha Miaka mitatu imeweza kufanya mambo mbalimbali ya udhibiti wa usalama, ubora na usalama wa bidhaa za ndani na nje ya Nchi ikiwemo kutambulika kimataifa kwa kuzingatia  viwango vya Kimataifa vya ISO 9001: 2015. Hii ni kutokana na mafanikio ya miaka mitatu …

Soma zaidi »

Rangi ya njano inawakilisha madini yote, sio dhahabu pekee yake – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefuta mara moja maelekezo ya barua yenye kumbukumbu namba CHA.56/193/02/16 ya tarehe 23 Novemba, 2018 iliyoandikwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (Baada ya kupokea maelekezo ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi) kwenda kwa Wakuu …

Soma zaidi »