Maktaba Kiungo: FOCAC

#NiSisiSisi Watanzania Tumenufaika na Mkutano Wa FOCAC – Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu – Tarehe 5 Septemba 2018

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania imepata mafanikio makubwa kutokana na kushiriki kwake katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC). Amesema kikao hicho kimekuwa na tija kwa Tanzania kutokana na maeneo ya vipaumbele yaliyojadiliwa katika mkutano huo hususani masuala ya uwekezaji kwenye sekta ya viwanda. …

Soma zaidi »