Maktaba Kiungo: Hapa Kazi tu

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA AfDB NA MABALOZI WAWILI LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) nchini Dkt. Alex Mubiru ambaye alifika ofisini kwa Makamu wa Rais kujitambulisha. Makamu wa Rais amesema kuwa AfDB imeahidi kuendelea kushirikiana na …

Soma zaidi »

MATALUMA 1,080 YA RELI MPYA YANAZALISHWA KWA SIKU KIWANDANI SOGA

Katika picha; Mataluma na vifungashio vyake yakiendelea kuzalishwa nchini katika kiwanda kilichopo katika kambi ya ujenzi wa reli ya kisasa-SGR Soga,mkoa wa Pwani, ambapo kiwanda hicho huzalisha mataluma 1080 kwa siku. Kazi ya kutandika mataluma katika tuta la Reli lililojengwa kisasa imeanza tarehe 31 Agosti 2018 na siku chache zijazo …

Soma zaidi »