Tanzania yadhamiria kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu kwa asilimia 30% ifikapo 2024. Katika kikao cha kupitisha Mpango Kazi wa Taifa wa kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo kilichoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais na kushirikisha sekta husika, leo katika Chuo cha Biashara …
Soma zaidi »TANZANIA TUNAO UWEZO MKUBWA WA KUZALISHA MIFUKO MBADALA – MAKAMBA
Tanzania inao uwezo mkubwa wa kuzalisha mifuko mbadala ambayo itatosheleza kufanikisha azma yake ya kupiga marufuku biashara na matumizi ya mifuko ya plastiki. Hayo yamebainishwa na Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, mhe. Januari Makamba wakati akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa …
Soma zaidi »SERIKALI YAKUTANA NA WAZALISHAJI WA MIFUKO MBADALA YA PLASTIKI NA WADAU WA BIASHARA YA TAKA HATARISHI NCHINI
MAKAMU WA RAIS AZINDUA RIPOTI YA MAZINGIRA JIJINI DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amezindua ripoti ya hali ya Hali ya Mazingira nchini Tanzania ambapo ripoti hiyo imetaja sababu mbalimbali ikiwemo ya kasi ya ongezeko la watu na ukuaji wa maendeleo unachangia kwa sehemu kubwa uharibifu wa mazingira. Akizungumza Mei 6,2019 wakati wa uzinduzi wa ripoti hiyo uliofanyika …
Soma zaidi »SERIKALI IMEJIPANGA KUHAKIKISHA MIFUKO MBADALA YA PLASTIKI INAPATIKANA KWA WINGI ILI KUKIDHI MAHITAJI
Serikali imefafanua tamko lake la kupiga marufuku uzalishaji, usambazaji na matumizi ya mifuko ya plastiki hapa nchini. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba katika Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika Jijini Dodoma na kusisitiza kuwa katazo la Mifuko ya …
Soma zaidi »OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAPONGEZWA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA
Serikali imesema itaendelea na juhudi za kushawishi wadau wa maendeleo na Jumuiya za Kimataifa ili kupata fedha za kusimamia uratibu wa shughuli za mazingira na kukabiliana na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi nchini. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba ameyasema hayo hii leo …
Soma zaidi »Dkt.SHEIN AWASILI JIJINI NAIROBI KUHUDHURIA MKUTANO WA BLUE ECONOMY
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein amewasili nchini Kenya kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa uchumi endelevu wa bahari(Sustaniable Blue Economy Conference) utakaoanza kesho katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta Jijini Nairobi Nchini Kenya.Katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo …
Soma zaidi »