Maktaba Kiungo: JESHI LA POLISI

JWTZ KUHAKIKI UPYA VIJANA WALIOKIUKA USAJILI WA KUJIUNGA NA JKT

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeamua kufanya upya uhakiki wa kina utaratibu wa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa vijana wanaojiunga kwa kujitolea baada ya kubaini baadhi yao kufanya udanganyifu wakati wa usaili unaoendelea sasa. Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano wa Jeshi Luteni Kanali Gaudence …

Soma zaidi »

RC NDIKILO ARIDHISHWA NA UJENZI WA NYUMBA 42 ZA ASKARI MKOANI PWANI AMBAZO ZITAGHARIMU SH.BIL. MOJA

Mwnyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo, ameridhishwa na ujenzi wa nyumba 42 za askari ambazo zipo kwenye hatua ya umaliziaji kwa kanda maalum ya kipolisi Rufiji na jeshi la polisi mkoani Pwani ambazo zitagharimu sh. bilioni moja. Aidha amewaasa wadau kushiriki kusaidia ujenzi wa …

Soma zaidi »

WAZIRI LUGOLA AFANYA ZIARA TERMINAL III KUKAGUA JESHI LA POLISI,UHAMIAJI NA ZIMAMOTO

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola leo Jumapili Juni 9, 2019 amefanya ziara katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere-JNIA (Terminal III), jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuvikagua vyombo vyake (Jeshi la Polisi, Zimamoto na Uhamiaji), kabla ya Jengo jipya la uwanja …

Soma zaidi »