Maktaba Kiungo: JIJI LA DODOMA

TUNAZO FEDHA ZA KUKAMILISHA HOSPITALI YA UHURU – RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wananchi kuwa Serikali inayo fedha za kutosha kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Uhuru. Rais Magufuli amesema hayo leo alipokuwa akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa ospitali hiyo inayojengwa wilayani Chamwino, Dodoma. …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UDAKTARI WA FALSAFA YA UDOM

Rais Dkt. John Pombe Magufuli  ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika Sayansi (Doctor of Science Honoris Causa) ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Rais Magufuli aliyeongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli ametunukiwa shahada hiyo na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Mhe. Benjamin William Mkapa (Rais Mstaafu …

Soma zaidi »

DOKTA MPANGO AIOMBA AfDB KUJENGA BARABARA NJIA NNE MOROGORO HADI DODOMA

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango ameiomba Benki ya Maendeleo ya Afrika kuipatia Tanzania mkopo nafuu kwa ajii ya kujenga barabara ya njia Nne kuanzia Morogoro hadi Dodoma ili kuboresha usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo Dkt. Mpango ametoa ombi hili Jijini Dodoma alipokutana na kufanya mazungumzo …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA MKOA DODOMA, MZAKWE MAKUTOPORA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,amemuagiza Meneja Msaidizi wa Usimamizi wa Rasilimali za Misitu TFS Kanda ya kati Dodoma Bibi Tebby Yoramu kufuatilia Utafiti wa Udongo kwenye eneo la Mzakwe Makutopora Jijini Dodoma. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati alipofanya Ziara ya …

Soma zaidi »