Rais Dkt. John Magufuli ametoa wito kwa Watanzania wengi zaidi kujitokeza kufuga wanyamapori kupitia bustani za wanyama (Zoo), ili kuongeza idadi ya wanyama hao na hivyo kupanua fursa za utalii na ajira. Rais Magufuli amewapongeza baadhi ya Watanzania walioanzisha Zoo hizo wakiwemo Lut. Jen Mstaafu Samwel Ndomba (Lugari Mini Zoo …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA MAWE YA MSINGI MIRADI YA UJENZI WA MELI MPYA YA M.V MWANZA (Hapa Kazi Tu), CHELEZO, PAMOJA NA UKARABATI WA M.V VICTORIA NA M.V BUTIAMA KATIKA ZIWA VICTORIA
Rais Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 08 Desemba, 2019 ameweka jiwe la msingi katika miradi ya ujenzi wa meli mpya ya MV Mwanza Hapa Kazi Tu, Chelezo na ukarabati wa meli za MV Victoria na MV Butiama katika Ziwa Victoria. Sherehe za uwekaji jiwe la msingi katika miradi hiyo zimefanyika …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AAGIZA UPANUZI HOSPITALI YA WILAYA YA CHATO KUANZA MARA MOJA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita kuanza mara moja upanuzi wa majengo ya Hospitali ya Wilaya ya Chato kwa kuwa Serikali imeshatoa shilingi Bilioni 1 kwa ajili ya ujenzi huo. Mhe. Rais Magufuli ambaye …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 58 YA UHURU JIJINI MWANZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara na miaka 57 ya Jamhuri zinazotarajiwa kufanyika Kitaifa mkoani Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa huo Mhe. John Mongella amesema …
Soma zaidi »LIVE CATCH UP:RAIS DKT. MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI AKIWA NJIANI KUELEKEA KAHAMA – SHINYANGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi mbalimbali waliomsubiri njiani akilekea Mkoani Shinyanga
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATOA SHILINGI BILIONI 10 KWA AJILI YA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa shilingi Bilioni 10 kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa ajili ya kuanza ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa katika eneo la Kikombo Jijini Dodoma. Mhe. Rais Magufuli ametoa fedha hizo leo …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI KATIKA HAFLA YA UPOKEAJI WA GAWIO NA MICHANGO KWA SERIKALI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anapokea gawio, michango na ziada ya Serikali kutoka mashirika, kampuni na taasisi mbalimbali ambazo zinamilikiwa na Serikali.
Soma zaidi »RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA SOKO KUU JIJINI DODOMA
RAIS DKT MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA POLISI JIJINI DODOMA
p3:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro akifunua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makaki ya Askari Polisi eneo la Nzuguni jijin Dodoma Leo. p4: p5: p6: p7:
Soma zaidi »TUNAZO FEDHA ZA KUKAMILISHA HOSPITALI YA UHURU – RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wananchi kuwa Serikali inayo fedha za kutosha kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Uhuru. Rais Magufuli amesema hayo leo alipokuwa akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa ospitali hiyo inayojengwa wilayani Chamwino, Dodoma. …
Soma zaidi »