Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 22 Novemba, 2019 ataweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Uhuru katika eneo la Maduka Chamwino, ataweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa nyumba 118 za askari polisi katika eneo la …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UDAKTARI WA FALSAFA YA UDOM
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika Sayansi (Doctor of Science Honoris Causa) ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Rais Magufuli aliyeongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli ametunukiwa shahada hiyo na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Mhe. Benjamin William Mkapa (Rais Mstaafu …
Soma zaidi »NIMENUFAIKA SANA KUWA NA MWALIMU KAMA MSHAURI WANGU – RAIS MSTAAFU MKAPA
RAIS MAGUFULI AHUTUBIA MKUTANO WA 18 WA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NORDIC NA AFRIKA
Rais Dkt. John Magufuli amezishukuru nchi za Nordic kwa uhusiano na ushirikiano wake mzuri na nchi za Afrika ikiwemo Tanzania na ametoa wito kwa nchi hizo kujielekeza zaidi katika ushirikiano wa kiuchumi. Mhe. Rais Magufuli amesema hayo leo tarehe 08 Novemba, 2019 alipohutubia Mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI: SISI TUNAUWEZO, FURSA NA MAZINGIRA YA KUINGIA KWENYE USHIRIKIANO MADHUBUTI WA KIUCHUMI
Mustakabali wa Taifa letu hauwezi kuwa na maana sana, endapo taifa letu litaendelea kuwa tegemezi kiuchumi. Pamoja na uhusiano mzuri na mafanikio makubwa yaliyopatikana kwenye ushirikiano kati ya nchi za Afrika na Nordic, bado tuna fursa ya kuukuza uhusiano wetu na kuupa msukumo mpya ili kuleta manufaa makubwa zaidi kwa …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI AKIAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA
RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WAPYA WA FINLAND, UMOJA WA ULAYA NA RWANDA
Rais Dkt. John Magufuli amepokea hati za utambulisho za Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) hapa nchini Mhe. Manfred Fanti, Balozi wa Finland hapa nchini Mhe. Riitta Swan na Balozi wa Rwanda hapa nchini Mhe. Mej. Jen. Charles Karamba, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Mhe. Rais Magufuli baada …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA AALCO NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao wanahudhuria mkutano wa 58 unaofanyika hapa nchini kwa siku 5 ukiwakutanisha wajumbe kutoka nchi wanachama 49 na mashirika mbalimbali. Viongozi wa AALCO waliokutana na Mhe. Rais Magufuli ni …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI AKIWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI. IKULU JIJINI DSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli awaapisha Viongozi aliowateua hivi karibuni. Hafla inayofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 20, 2019
Soma zaidi »