Maktaba Kiungo: John Pombe Joseph Magufuli

LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA MWALIMU JK NYERERE MKOANI LINDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anahudhuria maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATAKA WATANZANIA KUJIVUNIA MAFANIKIO YA NCHI YAO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema Watanzania wana kila sababu ya kutangaza na kujivunia mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi kifupi cha miaka minne iliyopita na ameahidi kuendelea kusimamia rasilimali za Taifa ili ziwanufaishe zaidi. Mhe. Rais Magufuli ameyasema hayo leo tarehe 10 Oktoba, …

Soma zaidi »

LIVE:RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIOWATEUA – IKULU DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli awaapisha Viongozi mbalimbali aliowateua tarehe 20 Septemba, 2019 1.Bw. Loata Sanare kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro. Bw. Sanare anachukua nafasi ya Dkt. Kebwe Stephen Kebwe ambaye uteuzi wake umetenguliwa. 2. Bw. Tixon Tuyangine Nzunda kuwa Katibu Mkuu, …

Soma zaidi »