DODOMA: Ujenzi wa stendi kubwa, MpyA ya Dodoma waanza.
• Ujenzi unagharimu Tsh. Bilioni 35.4 • Ujenzi unatarajiwa kuchukua miezi 15 • Stendi hiyo itakabidhiwa kwa serikali tayari kwa matumizi mwezi Septemba 2019 Bilioni 77 za Mradi wa Tscp zatekeleza Agizo Rais JPM Jijini Dodoma. Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI. Mradi wa Mpango Miji Mkakati ‘Tanzania Strategic Cities Project’ maarufu kama …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AWASILI KATIKA KANISA LA PENTEKOSTE MOTOMOTO MKOANI KIGOMA ASUBUHI HII
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tayari amewasili kwenye kanisa la Pentekoste Motomoto Jimbo la Tanganyika mkoani Kigoma kushuhudia kusimikwa kwa Askofu Mkuu Msaidizi na Maaskofu wa Majimbo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Soma zaidi »“Makao makuu (TAKUKURU) TOKA toka mwezi wa 4 hadi wa 9, Hawajashughulika! Ninaona mkurugenzi Mkuu akae pembeni, Akafanye kazi nyingine.’ – RAIS MAGUFULI
“Mtu amenunua Musoma Hotel hashughuliki.. Kila kandarasi hamalizi.. Waziri Mkuu akapita hapa.. Mara. Akitoa maagizo kwenye chombo cha PCCB.. – TAKUKURU shughulikia hili. Mkuu wa TAKUKURU wa mkoa wa Mara akalishughulikia. Akalimaliza mwezi wa nne (Aprili 2018)! Akalipeleka Makao Makuu (Makao Makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa …
Soma zaidi »LIVE: Fuatilia Matangazo Ya Moja Kwa Moja Rais Magufuli anazungumza na Wananchi Tarime – Tarehe 7 septemba 2018
Rais Magufuli anazungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara katika viwanja vya chuo Ualimu
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKIWA KATIKA ZIARA MKOANI MARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa shilingi milioni moja Nyambura Nyamarasa ambaye alikuwa na kero ya kulishiwa na shamba lake na mfugaji mmoja huko Mugumu Serengeti mkoani Mara.
Soma zaidi »Tani Zaidi ya 7,000 Za Reli Zawasili Bandari ya Dar Es Salaam
Zimeshaanza kupakuliwa kutoka kwenye meli Kazi ya kuzipakua itachukua siku 7 zitaanza kufungwa katika malaruma mwezi huu huu Septemba 2018 Ujenzi wa Reli ya mwendo kazi kipande cha Dar – Morogoro kukamilika mapema zaidi ya muda uliokisiwa maana #SisiNiTanzaniaMpyA+.. inayopata Matokeo ChanyA+ 110% katika kila nyanja ya kukuza na kujenga …
Soma zaidi »LIVE Rais Magufuli: Butiama Mkoani Mara – Tarehe 6 Septemba 2018
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Butiama mkoani Mara ambapo Mhe. Rais Dkt. Magufuli anazindua barabara ya makutano ya Natta – Magumu katika Wilaya ya Butiama yenye urefu wa km 135 kisha atazungumza na wananchi. Fuatilia kwa kubofya link hii 👇🏽 AU Sikiliza online Radio – Radio chanyA+ kwa …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI; ANAFUATA NYAYO ZA MWALIMU NYERERE KWA KARIBU SANA – MZEE MSEKWA
Asema ni kiongozi tuliyejaaliwa na Mwenyezi Mungu Akiri baadhi ya mambo yaliyowashinda Awamu ya Kwanza (wakati wao wa uongozi wakiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere) Rais Magufuli ameyatekeleza kwa ufanisi mkubwa kabisa ikiwemo suala la serikali kuhamia Makao Makuu Dodoma.
Soma zaidi »LIVE Radio ChanyA+
Radio ChanyA LIVE Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Anazungumza Na Wananchi Katika Uwanja Wa Mkendo. Leo Tarehe 5 Septemba 2018.
Soma zaidi »