Maktaba Kiungo: JPM Mkoa wa Mara

DODOMA: Ujenzi wa stendi kubwa, MpyA ya Dodoma waanza.

• Ujenzi unagharimu Tsh. Bilioni 35.4 • Ujenzi unatarajiwa kuchukua miezi 15 • Stendi hiyo itakabidhiwa kwa serikali tayari kwa matumizi mwezi Septemba 2019 Bilioni 77 za Mradi wa Tscp zatekeleza Agizo Rais JPM Jijini Dodoma. Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI. Mradi wa Mpango Miji Mkakati ‘Tanzania Strategic Cities Project’ maarufu kama …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AWASILI KATIKA KANISA LA PENTEKOSTE MOTOMOTO MKOANI KIGOMA ASUBUHI HII

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tayari amewasili kwenye kanisa la Pentekoste Motomoto Jimbo la Tanganyika mkoani Kigoma kushuhudia kusimikwa kwa Askofu Mkuu Msaidizi na Maaskofu wa Majimbo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Soma zaidi »

“Makao makuu (TAKUKURU) TOKA toka mwezi wa 4 hadi wa 9, Hawajashughulika! Ninaona mkurugenzi Mkuu akae pembeni, Akafanye kazi nyingine.’ – RAIS MAGUFULI

“Mtu amenunua Musoma Hotel hashughuliki.. Kila kandarasi hamalizi.. Waziri Mkuu akapita hapa.. Mara. Akitoa maagizo kwenye chombo cha PCCB.. – TAKUKURU shughulikia hili. Mkuu wa TAKUKURU wa mkoa wa Mara akalishughulikia. Akalimaliza mwezi wa nne (Aprili 2018)! Akalipeleka Makao Makuu (Makao Makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa …

Soma zaidi »

Tani Zaidi ya 7,000 Za Reli Zawasili Bandari ya Dar Es Salaam

Zimeshaanza kupakuliwa kutoka kwenye meli Kazi ya kuzipakua itachukua siku 7 zitaanza kufungwa katika malaruma mwezi huu huu Septemba 2018 Ujenzi wa Reli ya mwendo kazi kipande cha Dar – Morogoro kukamilika mapema zaidi ya muda uliokisiwa maana #SisiNiTanzaniaMpyA+.. inayopata Matokeo ChanyA+ 110% katika kila nyanja ya kukuza na kujenga …

Soma zaidi »

LIVE Rais Magufuli: Butiama Mkoani Mara – Tarehe 6 Septemba 2018

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Butiama mkoani Mara ambapo Mhe. Rais Dkt. Magufuli anazindua barabara ya makutano ya Natta – Magumu katika Wilaya ya Butiama yenye urefu wa km 135 kisha atazungumza na wananchi. Fuatilia kwa kubofya link hii 👇🏽 AU Sikiliza online Radio – Radio chanyA+ kwa …

Soma zaidi »