Maktaba Kiungo: KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU

KISWAHILI LUGHA YA NNE RASMI KWA NCHI ZA SADC

Kiswahili kuwa lugha ya nne rasmi itakayotumika katika mikutano na machapisho mbali mbali ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Akitangaza katika Mkutano wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Mwenyekiti wa SADC Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AKABIDHIWA UENYEKITI WA SADC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Agosti, 2019 amekabidhiwa Uenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC ulioanza leo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI: TUTAZIDI KUFUNGUA MILANGO YA BIASHARA NA UWEKEZAJI NA AFRIKA KUSINI

Rais Dkt. John Magufuli amesema Tanzania itazidi kufungua milango ya ushirikiano na Jamhuri ya Afrika Kusini na kuwataka Wafanyabiashara na Wawekezaji wa nchi hizo kutumia fursa za vivutio mbalimbali vilivyopo ili kukuza uchumi kwa manufaa ya wananchi wa Mataifa hayo. Akizungumza leo Alhamisi (Agosti 15, 2019) Ikulu Jijini Dar es …

Soma zaidi »