Maktaba Kiungo: LUKUVI

LUKUVI ATANGAZA KUPANGWA MAENEO ITAKAPOPITA RELI YA MWENDOKASI (SGR)

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ametangaza kupangwa kwa maeneo yote itakapopita reli ya Mwendokasi (SGR) ili shughuli zitakazofanyika katika wilaya na vijiji inapopita reli hiyo kwenda sambamba  shughuli za kiuchumi za mradi wa reli hiyo. Aidha, Lukuvi alisema wakati wa kupanga maeneo hayo hakuna mwananchi …

Soma zaidi »

SERIKALI YASHUSHA GHARAMA ZA URASIMISHAJI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema kuanzia sasa gharama za urasimishaji haitazidi shilingi 150,000 badala ya 250,000 iliyopangwa awali na makampuni yatakayoenda kinyume yatachukuliwa hatua ikiwemo kufutwa. Lukuvi alitoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam alipokutana na Makampuni ya Upangaji na Upimaji yanayofanya kazi …

Soma zaidi »

UJENZI WA MRADI WA UMEME RUFUJI KUANZA RASMI MWENZI JUNI

Imeelezwa kuwa ujenzi wa mradi wa umeme wa Rufiji utakaozalisha  megawati 2115 unatarajiwa kuanza rasmi tarehe 15 mwezi Juni mwaka huu. Hayo yalielezwa jana na Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani katika eneo utakapotekelezwa mradi huo wilayani Rufiji mkoani Pwani mara baada ya kukagua  kazi za ujenzi wa miundombinu wezeshi …

Soma zaidi »