Maktaba Kiungo: MAHAKAMA

RAIS MAGUFULI AIPONGEZA MAHAKAMA NA WADAU KWA MAFANIKIO MAKUBWA

Rais  Dkt. John  Magufuli ameipongeza Mahakama na wadau wake kwa hatua kubwa za kimaendeleo zilizopigwa katika kipindi cha miaka 4 iliyopita na ameahidi kuwa Serikali itaendelea kuhakikisha Mahakama inaboreshwa zaidi. Rais Magufuli ametoa kauli hiyo tarehe 06 Februari, 2020 katika sherehe za kilele cha Wiki ya Elimu na Siku ya …

Soma zaidi »

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Febuari, 2020 amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni ikiwemo  Makatibu Wakuu, Naibu Katibu Mkuu, Makatibu Tawala wa mikoa, Kamishina Jenerali wa Magereza na Kamishna Jenerali wa zimamoto na uokoaji, Kamishina wa ardhi Wizara ya Ardhi,Nyumba …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA MSAMAHA KWA WASHTAKIWA WA UHUJUMU UCHUMI

  Rais Dkt. John Magufuli amepokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa tarehe 22 Septemba, 2019 kuhusu kuwasamehe washtakiwa wa makosa ya uhujumu uchumi waliotayari kukiri makosa yao, kuomba msamaha na kurejesha fedha na mali. Akitoa taarifa hiyo Ikulu Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Biswalo Mganga amesema …

Soma zaidi »