Maktaba Kiungo: makamu wa rais

RAIS MAGUFULI:NITABADILISHA JIJI LA DAR ES SALAAM.

Rais Dkt John Magufuli, amezindua flyover ya MFUGALE hii leo katika makutano Tazara jijini Dar Es Salaam. Rais Magufuli amesema kuwa flyover hiyo imepewa jina hilo kutokana na kazi nyingi alizofanya Injinia Patrick Mfugale, ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini(TANROADS),kwa uaminifu mkubwa na kwa kutanguliza utanzania badala …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA AfDB NA MABALOZI WAWILI LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) nchini Dkt. Alex Mubiru ambaye alifika ofisini kwa Makamu wa Rais kujitambulisha. Makamu wa Rais amesema kuwa AfDB imeahidi kuendelea kushirikiana na …

Soma zaidi »

KIGOMA: Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu katika kijiji cha Ruchugi, Kitongoji cha Kibaoni, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wa kijiji cha Ruchugi, Kitongoji cha Kibaoni, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Kazuramimba kuhutubia mkutano wa hadhara, pamoja na mambo mengine Makamu wa Rais aliwataka wananchi hao kuzingatia lishe bora kwa watoto …

Soma zaidi »