Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Watanzania wanapoadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar lazima wale walioshuhudia wajikumbushe wakati kile Kizazi Kipya kinapaswa kusoma Historia ili kujua vyema dhamira iliyopelekea kufanywa kwa Mapinduzi hayo. Balozi Seif Ali Iddi ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na …
Soma zaidi »RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA NYUMBA ZA KWAHANI JIJINI ZANZIBAR
LIVE CATCH UP: RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI UNGUJA KWA AJILI YA SHEHERE ZA MIAKA 56 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
MAKAMU WA RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA HOSPITALI YA MAMA NA MTOTO KIVUNGE UNGUJA
RAIS DKT. SHEIN AFUNGUA DARAJA LA KIBONDE MZUNGU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa ujenzi wa barabara na daraja la Kibonde Mzungu ni uthibitisho wa Mapinduzi kwani kabla ya Mapinduzi hapakuwepo madaraja na barabara nzuri kama zinazojengwa hivi sasa hapa Zanzibar. Rais Dk. Shein aliyasema hayo leo katika hotuba …
Soma zaidi »TUTAENDELEA KUTOA ELIMU BURE KWA WANANCHI KAMA ILIVYO KWA SEKTA YA AFYA – RAIS DKT. SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa elimu bure kwa wananchi wake kama ilivyo kwa sekta ya afya na katu haitorudi nyuma. Rais Dk. Shein aliyasema hayo leo katika hotuba yake aliyoitoa katika hafla ya …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA VITUO VYA KISAYANSI PEMBA
SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KUENDELEZA MIRADI YA MAJI SAFI NA SALAMA
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inafanya juhudi kubwa katika kuendeleza miradi ya maji safi na salama na si muda mrefu changamoto ya upatikanaji huduma hiyo itakuwa ni historia. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein aliyasema hayo leo katika hotuba yake wakati wa ufunguzi …
Soma zaidi »RAIS DKT. SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA JENGO LA MICHEZANI MALL NA JENGO LA SHEIKH THABIT KOMBO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kulikuwa kuna kila sababu ya kufanyika Mapinduzi matukufu ya Januri 12, 1964 ili kuleta usawa na umoja sambamba na kuwafanya Waafrika waishi maisha bora. Rais Dk. Shein aliyasema hayo katika hotuba yake aliyoitoa katika hafla …
Soma zaidi »ZANZIBAR IMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA SEKTA YA ELIMU – RAIS DKT. SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Zanzibar imepata mafanikio makubwa katika sekta ya elimu, kutokana na misingi bora iliyowekwa na muasisi wa Taifa hili, marehemu Abeid Amani Karume. Dk. Shein amesema hayo katika hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Mwembeshauri, …
Soma zaidi »