Maktaba Kiungo: MASHIRIKA YA HIFADHI YA JAMII TANZANIA

PSSSF YATUMIA BILIONI 880 KULIPA MAFAO

Wanachama elfu kumi wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) wamelipwa takribani Bilioni 880/- ikiwa ni malimbikizo ya Pensheni kwa wastaafu  tangu kuanzishwa kwa Mfuko huo mapema mwaka jana. Akizungumza na waandishi wa habari  Jijini Dodoma Meneja Kiongozi, Uhusiano  wa mfuko huo Bi. Eunice Chiume amesema kuwa dhamira …

Soma zaidi »