LIVE: RAIS MAGUFULI ANAZINDUA MRADI WA KUSAFIRISHA UMEME MKUBWA MW 220 KUTOKA MAKAMBAKO HADI SONGEA
MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE KITAIFA MKOANI SONGWE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa Wananchi wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutumia mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu 2019 kumkumbuka Baba wa Taifa kwa kupinga vitendo vya dhulma, ufisadi, rushwa, maradhi, chuki, dharau na kuwataka kuenzi …
Soma zaidi »UTOAJI WA ELIMU BORA NI KIPAUMBELE CHA NCHI – WAZIRI MKUU MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema utoaji wa elimu bora kwa Watanzania ni moja ya vipaumbele vya nchi katika kuleta maendeleo na kufikia malengo ya Milenia 2025, Elimu kwa wote (EFA) na Mkakati wa Kupambana na Kupunguza Umasikini Tanzania (MKUKUTA). Amesema ili kuweza kufanikisha malengo hayo wanahitaji sekta hiyo kuwa bora, …
Soma zaidi »RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI UTALETA FURSA NYINGI KWA WATANZANIA – WAZIRI MHAGAMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama Machi 2, 2019 amefungua warsha ya mafunzo kuhusu Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima nchini Uganda kuja Tanga, Tanzania. Warsha hiyo iliwakutanisha zaidi ya wadau …
Soma zaidi »NCHI ZA MASHARIKI MWA AFRIKA ZA DHAMIRIA KUIMARISHA UCHUMI KWA KUUZIANA UMEME
Nchi zilizopo Mashariki mwa Afrika, zimedhamiria kwa nia moja kuimarisha uchumi wao kwa kuuziana umeme kupitia mifumo ya kusafirisha nishati hiyo, iliyounganishwa katika ukanda husika. Hayo yalibainishwa Februari 21 mwaka huu, katika Mkutano wa 14 wa Baraza la Mawaziri wanaohusika na umeme kutoka nchi za ukanda huo, ambazo zimeunganishiwa mifumo …
Soma zaidi »PBPA YATAKIWA KUHAKIKISHA KUWA BANDARI ZOTE ZINATUMIKA KUPOKEA NA KUSHUSHA MAFUTA
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameitaka Bodi ya Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) kuhakikisha kuwa bandari zote nchini zinatumika katika shughuli za kupokea na kushusha mafuta ili kuongeza wigo wa upatikanaji mafuta katika sehemu mbalimbali nchini. Aliyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati wa kikao chake …
Soma zaidi »MFUMO MPYA WA TAARIFA ZA WATUMISHI WA UMMA KUANZA KUTUMIKA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dokta Mary Mwanjelwa amesema wizara ipo katika hatua ya mwisho ya kuwa na mfumo mpya wa kupata taarifa za watumishi wa umma kote nchini ikiwa ni pamoja na kituo cha kutoa huduma kwa pamoja. Naibu Waziri Mwanjelwa …
Soma zaidi »