Maktaba Kiungo: Mawaziri

NAIBU WAZIRI KANYASU AWATAKA WANANCHI WANAOISHI NDANI YA HIFADHI YA MISITU KULIPA TOZO BILA SHURUTI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Costantine Kanyasu amewataka wananchi wanaoishi na kufanya shughuli za uzalishaji mali ndani  ya Hifadhi ya misitu ya Visiwa vya  Kome  na Maisome vilivyoko wilayani Sengerema mkoa wa Mwanza kulipa tozo za serikali bila kulazimishwa. Kauli hiyo ameitoa  wakati alipokuwa akizungumza na wakazi wanaoishi …

Soma zaidi »

LIVE; RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA MISRI WASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA MRADI WA KUFUA UMEME WA STIEGLER’S GORGE

Serikali na Kampuni ya Arab Constructors ya Misri leo zitatia saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa Stiegler’s Gorge, utakaozalisha megawatts 2100. Kwa mujibu wa Rais Magufuli, mradi huo utagharimu zaidi ya TZS 6.5tril. Waziri Mkuu wa Misri atahudhuria hafla hiyo. Fuatilia kwa kubofya link hii;   …

Soma zaidi »

HAIWEZEKANI!; NCHI YENYE WATU ZAIDI YA MIL.55 IKOSE WATU 11 WA KUCHEZA MPIRA NA KUSHINDA! – RAIS MAGUFULI

Awaambia Stars Watanzania wamechoka kushuhudia wanafungwa katika kila mashindano. Asisitiza mwenendo wa kushindwa kwa timu za Tanzania katika mashindano ya kimataifa, ni aibu kubwa. Anachukizwa na rushwa pamoja na wizi uliokuwa unafanywa na viongozi wa soka nchini. Awataka viongozi wa mpira wa miguu nchini kuhakikisha wachezaji wa timu ya Taifa …

Soma zaidi »