Maktaba Kiungo: MAZAO YA BIASHARA

SERIKALI INATEKELEZA MPANGO KAZI WA BLUE PRINT ILI KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI NCHINI

Wadau wote kupitia vyama vyao waitwa kuleta mapendekezo ili kuboresha sekta zao ikiwa Serikali ipo kwenye maandalizi ya bajeti ukizingatia pia Wizara ya Viwanda na Biashara inatekeleza mpango kazi wa Blue Print ili kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi …

Soma zaidi »

KILA MTANZANIA ANAWEZA KUWEKEZA, TUMIENI FURSA ZILIZOPO – WAZIRI KAIRUKI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji nchini Mhe. Angellah Kairuki amewaasa wananchi kuthubutu uwekezaji katika maeneo yenye tija kwa kuzitumia fursa za uwekezaji zilizopo ili kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo yao na nchi kwa ujumla. Ametoa kauli hiyo tarehe 23 Januari, 2020 alipokuwa akizungumza na …

Soma zaidi »

NI MARUFUKU MADALALI KWENYE MAZAO – MHE HASUNGA

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) leo tarehe 20 Disemba 2019 amepiga marufuku madalali wa mazao ya kilimo ambao wanatumia nafasi hiyo kuwagalaliza wakulima. Waziri Hasunga amepiga marufuku hiyo wakati akizungumza kwenye mnada wa Kakao uliofanyika kwenye kijiji na kata ya Ikolo iliyopo katika Wilaya ya Kyela wakati akiwa …

Soma zaidi »

MINADA 6 YA KOROSHO MSIMU WA MWAKA 2019/2020 YAINGIZA BILIONI 406.3

Zao la korosho katika msimu wa kilimo wa mwaka 2019/2020 limeingiza zaidi ya Bilioni 406.3 kupitia minada sita ambayo imekwishafanyika kwa nyakati tofauti. Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo leo tarehe  13 Disemba 2019 wakati akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Gelasius Byakanwa mara baada ya …

Soma zaidi »

EURO MILIONI 140 ZA ACP KUWANUFAISHA WAKULIMA WA MAHINDI NA KOROSHO

Jumla ya Euro milioni 140 zimetengwa ili kuwanufaisha wakulima wa mazao ya korosho na mahindi katika mpango maalum wa kutoa mikopo,kujenga uwezo katika uzalishaji,masoko,uwekezaji na kuongeza mnyororo wa thamani wa mazao hayo kwa wakulima wa nchi za Afrika,Caribbean na Pacific jambo litakalosaidia kupunguza umasikini na njaa katika nchi hizo. Akizungumza …

Soma zaidi »

WIZARA YA KILIMO YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA WANAJESHI WASTAAFU KUIMARISHA SEKTA YA KILIMO

Serikali imewahakikishia Wanajeshi wastaafu kupitia muungano wa Wanajeshi Wastaafu Tanzania (MUWAWATA) kuwa imekusudia kuwashirikisha kwa karibu katika sekta ya kilimo kwani shughuli za kilimo zitaimarisha usalama wa chakula kwa kaya zao na Taifa kwa ujumla. Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo leo tarehe 13 Novemba 2019 wakati …

Soma zaidi »

TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA PILI YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA NJE NCHINI CHINA

Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa ameshiriki katika maonesho ya pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Nje (CIIE) yanayofanyika nchini China ambayo yamefunguliwa na Rais wa China Xi Jinping ambapo nchi zaidi ya 64 zinashiriki kuonyesha bidhaa mbalimbali. Tanzania inashiriki maonesho hayo kwa kutangaza mazao ya kimakakati pamoja na …

Soma zaidi »