LIVE: HALFA YA KUWAPONGEZA ASKARI WA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DSM 2019
LIVE CATCH UP: SHEREHE YA UTOAJI TUZO ZA MALKIAWA NGUVU
LIVE KUTOKA JNICC: MAKAMU WA RAIS AKIFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI NA AFYA
LIVE IKULU: RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WACHEZAJI WA TAIFA STARS NA BONDIA MWAKINYO
Oniline Radio, Bofya link hii http://myradiostream.com/mobile/MatokeochanyAtz
Soma zaidi »LIVE;VIONGOZI WA DINI JIJINI DAR ES SALAAM NA MHE. MKUU WA MKOA
LIVE; RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA MISRI WASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA MRADI WA KUFUA UMEME WA STIEGLER’S GORGE
Serikali na Kampuni ya Arab Constructors ya Misri leo zitatia saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa Stiegler’s Gorge, utakaozalisha megawatts 2100. Kwa mujibu wa Rais Magufuli, mradi huo utagharimu zaidi ya TZS 6.5tril. Waziri Mkuu wa Misri atahudhuria hafla hiyo. Fuatilia kwa kubofya link hii; …
Soma zaidi »ENG. MFUGALE NI MFANO WA KUIGWA KWA UTUMISHI ULIOTUKUKA TANZANIA!
Kufuatia uamuzi wa Mhe. Rais Magufuli kuwa Flyover ya makutano ya barabara ya Nyerere na Mandela iitwe Mfugale Flyover, Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi, Mhandisi Prof. Ninatubu Lema amesoma wasifu wa Mhandisi Patrick Aron Lipilima Mfugale na kueleza kuwa ameitumikia nchi akiwa Mhandisi kwa miaka 41 ambapo katika …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI:NITABADILISHA JIJI LA DAR ES SALAAM.
Rais Dkt John Magufuli, amezindua flyover ya MFUGALE hii leo katika makutano Tazara jijini Dar Es Salaam. Rais Magufuli amesema kuwa flyover hiyo imepewa jina hilo kutokana na kazi nyingi alizofanya Injinia Patrick Mfugale, ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini(TANROADS),kwa uaminifu mkubwa na kwa kutanguliza utanzania badala …
Soma zaidi »DSM: “Watu 11,669 wamekamatwa kwenye kampeni ya usafi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam” Paul Makonda
Watu 11,669 wamekamatwa kwenye kampeni ya usafi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Kati yao, watu 6,667 walipigwa faini na kuwezesha kupatikana kwa fedha kiasi cha Sh346 milioni, ambacho nusu yake imetumika kuwalipa mgambo ambao wanatekeleza kampeni hiyo. Akizungumza kwenye mkutano na wadau wa usafi na …
Soma zaidi »