WAZIRI UMMY AWAPONGEZA WAWEKEZAJI VIWANDA VYA DAWA – KIBAHA
Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amesema katika kila Sh. 100 ambayo Serikali inatumia kununua dawa nchini, Sh. 94 inapelekwa nje ya nchi kwa ajili ya ununuzi wa dawa hizo. Waziri Ummy alisema hayo jana wilayani Kibaha, Pwani wakati wa ziara yake ya kutembelea na …
Soma zaidi »MOI WAENDESHA KAMBI YA UPANDIKIZAJI WA NYONGA BANDIA NA UPASUAJI WA MGONGO
Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikianana hospitali ya Zydus ya nchini India kuanzia leo tarehe 14/02/2019 mpaka tarehe 16/02/2019 zitaendesha kambi maalum ya upandikizaji wa nyonga bandia na upasuaji wa Mgongo kwa njia ya kisasa. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt. Respicious Boniface amesema Katika kambi hii Madaktari bingwa wa …
Soma zaidi »DKT.ASSEY – TUMEFANIKIWA KUBORESHA HUDUMA ZA LISHE
Imeelezwa kwamba katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Serikali ya awamu ya tano, Taifa limefanikiwa kuimarisha huduma za lishe ikiwemo kuongeza bajeti ya lishe kuanzia ngazi ya Mikoa na Halmashauri. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Dkt. Vincent Assey wakati …
Soma zaidi »“SEKTA YA AFYA NCHINI INAKUWA KWA KASI” – Dkt. NDUGULILE
Sekta ya afya inakua kwa kasi huku huduma muhimu za afya kwa sasa zikiwa zinapatikana hapa hapa nchini” Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Faustine Ndugulile alipokua akizungumza na watumishi wa Hospitali ya rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) iliyopo …
Soma zaidi »MOI YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA WA KUONDOA UVIMBE KWENYE MISHIPA YA DAMU YA UBONGO
Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imefanikiwa kufanya upasuaji kwa mara ya kwanza hapa nchini kuondoa vivimbe katika mishipa ya damu ya ubongo (Aneurysm) ya mgonjwa. Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu Alhaji Dkt. Hamisi Shabani.(pichani) amesema kwamba kabla ya hapo wagonjwa walikuwa wanafanyiwa …
Soma zaidi »AFYA: Waziri Ummy Mwalimu aingia kwenye mtego wa Rais Magufuli.
Waziri Ummy Mwalimu aingia kwenye mtego wa Rais Magufuli. “Amejiweka kwenye mtego wangu…kwa sababu fedha zipo…wakandarasi wapo na wagonjwa wapo…,” – Rais Magufuli.
Soma zaidi »