LIVE:MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI NA SABA, MASWALI NA MAJIBU
SERIKALI YAKUSANYA KODI YA SH.BILLION 5.5 ZA TAULO ZA KIKE
Sserikali imesema kuwa katika mwaka wa fedha 2016/17 hadi 2017/18 ilikusanya kodi ya ongezeko la thamani(VAT) ya kiasi cha Sh. Bilioni 5.5 kwenye bidhaa ya taulo za kike ‘Sanitary Pads’ zilizoingizwa nchini kabla ya kodi hiyo kuondolewa Juni mwaka jana. Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Naibu Waziri wa Fedha …
Soma zaidi »BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA HABARI KWA MWAKA 2019/2020
LIVE: KUTOKA BUNGENI, MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI NA NNE
HOJA ZA SERIKALI – WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO
Soma zaidi »BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeidhinisha jumla ya Shilingi bilioni 55,175,163,302 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na miradi ya maendeleo kwa Wizara ya Katiba na Taasisi zake. Kati ya fedha hizo Shilingi Bilioni 47,283,566,000 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na mishahara na shilingi Bilioni 7,891,598,000 …
Soma zaidi »SERIKALI KUIMARISHA MFUMO MADHUBUTI WA KIKATIBA NA KISHERIA
Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imejipanga kuimarisha mfumo madhubuti wa kikatiba na kisheria ili kufanikisha utekelezaji wa sera na mipango kwa maendeleo ya Taifa. Hayo yamesemwa leo Bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb) alipokuwa akiwasilisha Bungeni Mpango na Makadirio ya …
Soma zaidi »SERIKALI YAANZA MAZUNGUMZO NA NCHI ZA MISRI NA ALGERIA KUANDAA MAKUBALIANO YA KUUZA TUMBAKU YA TANZANIA
Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji imeanzisha mazungumzo na nchi wanachama wa COMESA na nchi kama Misri na Algeria kupitia balozi zake ili kuandaa Makubaliano Maalum (Bilateral Agreement) yatakayoiwezesha Tanzania kupeleka tumbaku …
Soma zaidi »LIVE: BUNGE, MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI – 15 APRILI, 2019
HOJA ZA SERIKALI – WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (TAMISEMI) – WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (UTUMISHI NA UTAWALA BORA)
Soma zaidi »LIVE: BUNGE-HATI ZAWASILISHWA MEZANI
RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI- CAG WAZIRI MKUU WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (TAMISEMI) WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (UTUMISHI NA UTAWALA BORA) MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI …
Soma zaidi »