Maktaba Kiungo: MKOA WA KAGERA

WAZIRI KALEMANI ABAINISHA MKAKATI WA KUNUSURU UKOSEFU WA UMEME ULIOTOKEA KAGERA

Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amesema serikali inatekeleza miradi kadhaa inayolenga kuunganisha umeme wa gridi ya taifa kwa baadhi ya wilaya za Mkoa wa Kagera ambazo kwa sasa zinapata huduma ya umeme kutoka Uganda, ili kuzinusuru na adha iliyojitokeza hivi karibuni ya ukosefu wa umeme kwa takribani siku tatu. …

Soma zaidi »

WAZIRI KALEMANI AWASHA UMEME KIZINGA WILAYANI MULEBA

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewasha rasmi umeme katika kijiji cha Kizinga, Kata ya Bulyakashaju wilayani Muleba, Mkoa wa Kagera Julai 17, 2019 na kuibua shangwe kwa wananchi wa eneo hilo. Tukio hilo lilifanyika katika nyumba ya mmoja wa wakazi wa kijiji hicho, Venancia Joanes ambaye alikiri mbele ya …

Soma zaidi »

VIWANDA VYOTE NCHINI SASA KUWA NA TRANSFOMA ZAO

Serikali imetoa agizo kwa mameneja wote wa mikoa wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuhakikisha viwanda vyote nchini vinafungiwa Transfoma mahsusi kwa matumizi ya viwanda pekee pasipo kuchanganya na matumizi ya wananchi. Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani alitoa agizo hilo jana, Julai 17, 2019 akiwa katika ziara ya kazi …

Soma zaidi »

KITUO KIKUBWA CHA BIASHARA CHA AFRIKA MASHARIKI KUJENGWA NYAKANAZI MKOANI KAGERA

Serikali inatekeleza mpango mkakati wa kujenga Kituo kikumbwa cha Biashara cha Afrika Mashariki katika eneo la Nyakanazi Mkoani Kagera ili kuwanufaisha wananchi wanozunguka eneo hilo na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki- EAC. Hayo yameelezwa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu …

Soma zaidi »

KAGERA YATENGEWA HEKTA 58,000 KWA AJILI YA VIWANDA

Serikali imeeleza kuwa mikakati inayoendelea kutekelezwa na kuratibiwa katika Mkoa wa Kagera  ni pamoja na kutenga maeneo ya uwekezaji yenye ukubwa wa hekta 58,000 kwa ajili ya kuanzisha viwanda vya kusindika na kuongeza thamani ya mazao ya kilimo (Agro Processing Industries) hususani viwanda vya kusindika nyama, maziwa, asali, ndizi, miwa, …

Soma zaidi »